Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,952
- 9,863
Ili iweje?Siyo unawaza ukubwa WA pochi yake?
Ili iweje?Siyo unawaza ukubwa WA pochi yake?
Miss natafuta kumbe uko kwenye mwonekano mpya.... hiyo new look inatikisa tasnia ya mitindo duniani.zamani nilikuwa nawaza harusi yangu na yeye ,game itakavokuwa etc
siku hizi sitongozeki naona anapiga tu tararira isiyo na msingi .namuona kibaka wa papuchi asie na maana
Bichwa lakoHata mie huo ni mfano tu.
Awaze nini zaidi ya kukula?Nikitongozwa hua nawaza kua huyu mwanaume anawaza kunila tu!
Bichwa lako
Upo chief???? Dah siku nyingi saana
Hili ndo la msingi maana hawana mana kabisaWanawaza namna ya kukula hela zako tuuuu......
Mhhhhh inaonekana tu ndo unschowaza hahahaha. ..jina dawa hiloNawaza jinsi nitakavyo kula pesa zake
Umejuaje kaka shemeji?Wanawaza namna ya kukula hela zako tuuuu......
Nimependa hayo mawazo yako kwa asiyeoaKama natongozwa na mume wa mtu hua nawaza, hivi huyu ananichukulia kuwa sina akili au? Anataka kunifanya dumping area si ndio. Nawazaga tena na kujisemea huyu ni mnafiki wa kutupwa hanipendi wala nini bali ni muongo tapeli na hayapendi maisha yangu kwa sababu tayari ana mke wake.
Na kama hajaoa hua nawaza kama anataka tu kugegeda na kusepa imekula kwake sitoi mzigo. Wakati mwingine nawaza huyu ananijaribu au????
basi nisimulie mimi,maana ni sio kaka yako
My kaka si unajua haya sitakiwi kumwambia kaka yangu.