Hivi wanawake mnawaza nini pale mnapotongozwa?

We live in a generation of not being in love, and not being together » But we sure make it feel like we're together. Because we're scared to see each other with somebody else
 
Bado ninawaza hayo na vikibuma ninaumia kweli, ndiyo maana nimeacha kujibu PM za watu.
Tararira, ama ngebe tupu hizo. Maelezo yenu yote wanawake mliochangia humu, hayana majibu ya moja kwa moja, yaani mnazungusha kama mnavyotongozwa.
Hivi kweli utawaza msururu wa watoto ama siku ya honeymoon kabla ya kuwaza ngono zembe?
Ama utawaza kwa kumsingizia mwanamme uongo asiokutenda? Kwamba wanaume wote wapo aina moja na chuki zingine kibao zifananazo na hizo kabla ya kuwaza kuliwa?
Kama ni hivyo, njia gani hasa nyie huwa mnaiwaza jinsi ya kuondoa mwilini mwenu wadudu wanaonyenvua, ama huwa hamna habari hadi mfosiwe? Tusidanganyane hapa.
 
I'm tired of being a looser, I have now officially been retired.
at times it feels so useless especially when it doesnt reach to your expectations..u feel wasted and somehow taken for granted..but u dont have to give up anyway coz we all know that at one point in life you will need to settle down with someone you can build a life with..thats why its not always advisable to turn down approaches coz you just dont know which one will gonna pay..all you need is to keep trying..else you will never find that mr.ryt
 
Naaaammm sawa kabisa, ushauri mzuri huu.....
 
Huwa nawaza kufika mshindo aka orgasm bila dushe aka ze dudu kuingiamo shimoni aka kipochi manyoya.

Halafu huwa nawaza akimaliza kunitongoza tunaagana kwa kushikana mikono au atanibusu shavuni au tutakumbatiana tuu....

Mwisho huwa nawaza.... amefikiria nini hadi aje kunitongoza, anataka nini kwangu, anafanya uchunguzi aka research au ametumwa kukusanya au kuhakiki data aka vielelezi au ndo anataka kujenga himaya?

Kama mtongozaji nakuwa sijamzimikia, huwa nawaza tukitoka hapa hanioni bin hanipati ng'oooo. Na tukikutana siku ingine barabarani simjui kabsaa.

Hivo tuu... that's Kasie aka Kasinde.
 
Kwani Kasie umeshafikia "ukomo"? Unawazaje kufikia orgasim bila kugongwa na dushelele?
Liwa ndiyo upate orgasim yako sawasawa.
Hii ya kulumangila ugali hadi unashiba kwa kutumia picha ya samaki ni uoga wa uzee.
 
Hadi hapo Kasie ni mzee hehehehehe
Nimekuwa mkweli kusema nnachowaza nikiwa natongozwa...
 
Mkuu wewe bado unatongoza?siku izi unaomba namba ya sm tu hapo unakua tayari umeeleweka ni kupanga mahala pakumalizia tu.shauri yako
Na ukichelewa kumalizana nae mapema utaliwa vijisenti vyako mpka uchanganyikiwe.
 
Kwa kawaida yangu mimi binafsi ninapomtongoza mwanamke huwa nakuwa nawaza jinsi nitakavyogegeda endapo atakubali. Nawaza mastyle nitakayokuwa namuweka nikiwa namgegeda na hii nadhani ni fikra za kila mwanaume na ndio maana mwanaume mwingine huwa mwamvuli unakunjuka anapokuwa anatongoza.

Sasa najiuliza swali, hawa wanawake wao wanawaza kitu gani hasa kwa mara ya kwanza anapotongozwa? Eti nyie wadada wa humu MMU huwa mnawaza nini kwa mara ya kwanza mwanaume anapokutongoza? Yaani huwa ni kitu gani hasa mnachofikiria kichwani endapo una lengo la kumkubali huyo mwanaume?

Yaani unawaza nini hasahasa? Msaada wenu ili na sisi tujue.
Kama natongozwa na mume wa mtu hua nawaza, hivi huyu ananichukulia kuwa sina akili au? Anataka kunifanya dumping area si ndio. Nawazaga tena na kujisemea huyu ni mnafiki wa kutupwa hanipendi wala nini bali ni muongo tapeli na hayapendi maisha yangu kwa sababu tayari ana mke wake.
Na kama hajaoa hua nawaza kama anataka tu kugegeda na kusepa imekula kwake sitoi mzigo. Wakati mwingine nawaza huyu ananijaribu au????
 
Nikitongozwa hua nawaza kua huyu mwanaume anawaza kunila tu!
Exactly.
Maana ofcuz hajaja kukutongoza ili akuoe.hapo anawinda.Yani mwanaume anaonesha kabisa he wants you on his bed.Kwa hiyo kazi ni kumchelewesha ili kumsoma kwanza.
sasa inategemea.Kama mwanaume ni interesting nitaplay hard to get in a way,sije akaniona mm easy catch.Ntamu encourage pia.
Kama mwanaume haja nivutia,nitampotezea au ninamfriend zone.( nimekumbuka zamani for two three huko nkuwa nasema Sina simuutoto bhana)
Mwanaume akintongoza kwenye social media,sjui vitext,hata kama aweje,siwezi kutoka nae.

Kuna wanaume wakitongoza,huwezi hata kujibu.unajibu vitu havieleweki.huwezi hata kumwangalia.Na akiondoka unabaki unakumbuka ulvyotongozwa.Hapo mwanaume jua tuna interest sawa,sema take it slow.
Ukiona mwanamke anakujibu kavu tena hapepesi macho.Jua unamkera tu.
 
Ni kweli
 
Back
Top Bottom