Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,197
Ndo dizaini hii hii mupya siku hizi naona wanavaa kaptula za vitenge zina tisheti zakeHichi ila sasa vinabanaa
kaptula kitenge tisheti kitenge
sio kubanwa huko teh
Ndo dizaini hii hii mupya siku hizi naona wanavaa kaptula za vitenge zina tisheti zakeHichi ila sasa vinabanaa
bakita wanadeal mpk na uandish na utamkaji wa maneno vip uwe au hujui hilo;ukiach kutoa fasili ya neno/maneno na kuyaingiza ktk kiswahili
#point ni kw umbo lako la kiazi kimini hakikufai bibi
Michosho tu hawa, siku hizi naona hakuna suruali za kiume wala za kike
unakuta njemba imevaa kasuali kamebana tupaja kama vimdenge vya mishikaki
bado kaichana na kwenye goti, vigoti vimejikomalia masikini
ehhhhhh watuache bana