Hivi wanawake mnanini?

Hivi wanawake mnanini?

ukimbile

umesahau vigauni vifupi jamani navipenda loh. Anyway acha watoto wavae ila ujue kila mtu anavaa kuitokana na umbo lake.
 
Last edited by a moderator:
Ukiona mwanamke anatetea huo ujinga ujue ndo wale wale wa biashara ... kwan ukivaa skirt ndefu umeambiwa hautapendwa ni mapepo tu yamewatawala

Kuna aliyesema anavaa skirt fupi ili apendwe hapa?
 
Kuandika tu hujui, kajifunze kwanza kuandika ndio uje utoe maoni yako

hapa co bakita;ingekuwa tunatafuta nani mrumbi katk lugha sawa;bt point ile ile
kw umbo lako km kiaz na sket fup haikufai

#utumiz wa vifup vya maneno nikuokoa muda na kupunguza kuwa boad na vtu viref;hii ni topic ktk communication skillz
 
Kama hauna mamlaka ni vizuri, heri tu ufanye yako sasa ya walimwengu waachie walimwengu wenyewe
Hapo kwenye kuendelea mi hata sibadiliki mavazi nnayovaa ndo haya haya jana na leo na milele
as long as yanaendana na mazingira niliyopo

ni ushauri tu wala si ugomvi, as long as sikulishi, sikuvishi endelea tu, pengne ndo maisha uliyojichagulia, have a nice day ma dear!
 
hapa co bakita;ingekuwa tunatafuta nani mrumbi katk lugha sawa;bt point ile ike
kw umbo lako km kiaz na sket fup haikufai

Bakita na kuandika ni vitu viwili tofauti
mwandiko wako unatia kichefuchefu
shusha tu net ulale sipo interested na huo uandishi goodbye mulugo's son
 
ni ushauri tu wala si ugomvi, as long as sikulishi, sikuvishi endelea tu, pengne ndo maisha uliyojichagulia, have a nice day ma dear!
Hata mie sijachukulia ugomvi mpendwa wangu
siku njema na kwako pia
 
Michosho tu hawa, siku hizi naona hakuna suruali za kiume wala za kike
unakuta njemba imevaa kasuali kamebana tupaja kama vimdenge vya mishikaki
bado kaichana na kwenye goti, vigoti vimejikomalia masikini
ehhhhhh watuache bana

Hahaaa halafu kakidole kamejichora kwa mbele!
 
Kwani Mkuu, kuna ubaya gani kuweka assets wazi? Ukimtongoza Facebook akiwa kaweka picha za kawaida akiwa kavaa kiheshima halafu siku unakutana nae unagundua hana mzigo wakati hobby yako ni hiyo,Si utaponda?
 
Kwani mi nikibinua tako langu we unaumia nini???
Sketi yangu fupi inakupunguzia nini???
We fanya yako tu mkuu mambo ya kufatiliana hadi nguo haihusu

Sia aache tu kuangalia? Wengine tunapenda wawe hats uchi kidogo ili tutathmini kila kitu.
 
Na kuna hii 1438342232740.jpg
 
Bakita na kuandika ni vitu viwili tofauti
mwandiko wako unatia kichefuchefu
shusha tu net ulale sipo interested na huo uandishi goodbye mulugo's son

bakita wanadeal mpk na uandish na utamkaji wa maneno vip uwe au hujui hilo;ukiach kutoa fasili ya neno/maneno na kuyaingiza ktk kiswahili
#point ni kw umbo lako la kiazi kimini hakikufai bibi
 
Back
Top Bottom