born to win
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 561
- 168
xx co kwa umbo lako km kiazi na ww unavaa sket fupi
Kuvaa nguo hakuna limit ya aina ya umbo haijalish mguu ukoje ndo alivyoumbwa afanyaje ukipenda kitu nunua vaa usifikirie flan atasemaje maana hajakuchangia hata sent na cyo mwil wake hayo mambo ya kukaa na kuanza kukagua watu yamepitwa kwa nn upoteze sekunde kwa ajil ya kumjadil mtu embu tumia sekunde zako kuwaza maendeleo mtu avae nguo yake kanunua mwenyewe na ni mwil wake ingekuwa hivyo bas hata wanaume wasingevaa bukta maana miguu yao ni siyo mizur lakn mtu anavaa kwasababu kapenda mwenyewe kwa nn umpangie mtu kitu chaku vaa