Hivi wanawake mnanini?

Hivi wanawake mnanini?

ukimbile

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2015
Posts
212
Reaction score
55
Kupiga picha na kubinua makalio nini tafsiri yake?

Kushona sketi na kuipasua pajani au kalioni nini hekima zake?

Kuvaa kisketi kifupi na kuibana miguu bila uhuru vipi fukuto lake?

Tunapowaoa na kulipa pesa wanaume, upi usawa wake?

Hebu jibuni niwasikie.
 
Ngoja waje wavaaji nadhani utapata majibu sahihi unayoyataka
 
Kupiga picha huku wakibinua makalio maana yake wanauza makalio na wako radhi uyale.

Sketi fupi maana yake uone mapaja laini

Sketi fupi na kubana migui maana yake anakunyegeshhaa

Kutoa pesa na kjoa maana yake unanunua papuchi iwe yako yaani uwe na uhuru nayo.
 
wafanya biashara hao(sio wote) yani wameishiwa vya kuuza hadi wameamua wajiuze wenyewe sasa
 
Mtuache jamani, nyie mbona mwavaa trou mlege, mwaonesha boxa na makalio kwani nini tafsiri yake?
 
MTU anauhuru wa kuvaa atakavyo na nyie mnavyo vaa mlegezo maana yake nn
Mnavovaa minyonyo kupitiliza maana yake nn
Wewe kimekukera nn nyie ndo walewale mnaosumbuliwa na tamaa za mapenz ukiona tu sehemu za mwil bas unachanganyikiwa maana akil yako imetawaliwa na mapenz
 
MTU anauhuru wa kuvaa atakavyo na nyie mnavyo vaa mlegezo maana yake nn
Mnavovaa minyonyo kupitiliza maana yake nn
Wewe kimekukera nn nyie ndo walewale mnaosumbuliwa na tamaa za mapenz ukiona tu sehemu za mwil bas unachanganyikiwa maana akil yako imetawaliwa na mapenz

wanawake ktk kutetea upumbavu wao, so unataka kuhalalisha huo uvaaji
 
Kwani mi nikibinua tako langu we unaumia nini???
Sketi yangu fupi inakupunguzia nini???
We fanya yako tu mkuu mambo ya kufatiliana hadi nguo haihusu
 
Kla mtu anava anavopenda cdhan Kama kuna tatzo nkivaa sketi na pia kujibinua nita0nekanaje biashara matangaz0
 
Wanawake wa zamani walikuwa wameukalia uchumi tu, wa siku hizi hawaukalii tena uchumi lazima wawavutie wawekezaji kwa hali na mali.
 
Ukiona mwanamke anatetea huo ujinga ujue ndo wale wale wa biashara ... kwan ukivaa skirt ndefu umeambiwa hautapendwa ni mapepo tu yamewatawala
 
Vitu vingi wanaiga na wanashindwa kuchagua lipi bora....
Asilimia 70% ya wanawake wana akili moja...(Ona wanachojibu)..

>>>>>Haya mnasema mitindo yenu ya maisha haituhusu...mnafurahia watoto wenu kuona hayo makalio(matako) na hayo mapaja yenu?Vip wazaz wenu?Bado mnajiona mpo sahihi?

Sikatai na sisi wanaume tuna mapungufu mengi lakini unaporekebishwa jambo baya ulitendalo kubali.(Na ndivyo inavyotakiwa tuishi.)

Aya basi ishini mpendavyo.
 
Back
Top Bottom