Hivi wanawake mna nini nyie!

Sawa kamanda mbaba
watoto mna tabu kweli kweli, kuna mwanaume anakaa sikuhizi na kusema nimekupenda kweli, sikuhizi unamtoa out then kinachofuata ni kugegeda, sikumbuki ni lini nilianza kusema ohh nakupenda ohhh sijui nakuona kwenye glasi, tumia hela mkuu
 
Nahisi shule zimefungwa; post za ajabu zimeanza ...
 
Akishatinginya mambo anatafuta mtu wa kumsingizia lawama. That's him!!
Mzoee tuu[emoji23][emoji23][emoji23]amekuona wewe ni mnyonge wake.
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…