Hivi wanawake mna nini nyie!

Yule unayempenda nae huwa anatuma meseji za 'my nikwambie kitu'? Mwambie hazimfai bwana, hizo atuachie sie kina Mwajei
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Rafikiiiii
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Rafikiiiii
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Dear poster, hata wanamme pia mko na shida sijui na nyie mna Nini?!
.
Unakutana na a man unamwambia una mtu na still he wants a chance ulinganishe who is the better man?!
.
Na hicho ni Nini?!
.
Kwenye point ako, hao wanawake wa that type ni wale wa jobless most of them hawana focus.
.
Ukute a mwanamke ako na family au full committed and anajielewa, hato kuwa na time ya kuuliza mbona ni kimya.....
Instead, atafurahi umetoa jam.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…