Hivi wanawake mkoje?

Wewe akikuomba pesa we muombe mbususu basi
 
Hiyo kwa sasa ni kawaida sana mkuu๐Ÿ˜‚
Kwenye 10 wawili au mmoja ndio hawana hivo tabia Cha muhimu ni....@Razorblade njoo unalizie hii๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ
 
Na iyo buku 5 haujaombwa peke ako. Unakuta mmeombwa watu 15. Akitumiwa na watu 10 baadae anaenda zake kitambaa cheupe anatulia mezani na bucket ya savana kwa hela zenu ili wadau wakijileta wajue yeye ni expensive wapande dau kubwa
 
Hao ombaomba hata mzigo hutoa mapema tu tofauti na wasioomba.

(sizungumzii hao mnaokutana nao online)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ