Hivi wanawake huwa mnamaanisha nini kwenye hii kauli?

Yawezekana amemkuta mwanaume hajui kupiga mswaki, hajui kuvaa kijanja, ananuka soksi, mshamba mshamba, ananuka mijasho,....sasa akamshawishi angalau aonekane ni mtu...hapo lazima atoe hiyo kauli

Sent using Jamii Forums mobile app
Au yaweza kua amemkuta hata show hawezi piga kisawasawa but amemvumilia mpaka amekua mgegedaji mzuri na labda amemfundisha tactics nyingi za kuchakata..

Sasa linapokuja swala la kushare ndo labda wanakua wanatoa kauli hizo..

Ni kwa mtazamo wangu.. Mimi sijui wao wana maana gan
 
Mnaposema “Huyu mwanaume wangu nimemtengeneza mwenyewe sitaki kumuona mwanamke mwingine anamnyemelea“ huwa mnamaanisha nini?
Yani mwanaume unamsaidia kufika hapo alipo iwe kifedha au kimawazo chochote kile af mwanamke mwingine anakuja kufaidi matunda yako kilaini....

Mambo mengine tuyaache kama yalivyo usije ukapata magonjwa ya moyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kumtengeneza physically tu kwamba alikuwa sio nadhifu etc.

But psychologically too. Unamkuta MTU wako was abused as a child, he has trust issues, he has loads and loads of garbage from his childhood and past relationships.

Sasa unaenda nae mdogo mdogo trying to heal him until the clouds are gone and he can see the sunshine again.

Ila mi natofautiana kitu, after all this and he still wants to be free? Let him. Have pride in yourself knowing that you made this world a better place in your own way.

Never cling to a man who doesn't want you.
Muda mwingine inachosha, kwani kaja chuo hapa a graduate kwa ajili ya kujenga taifa?
 
Ni ile unakuta mtu labda mchafu mchafu, hajielewi, mlevi, hana uelekeo.....nk
Ukamtoa kote huko na kisha akasimama nae akaonekana mtu kati ya watu.

Ila kuna wanawake wana moyo
Aisee siwezi mtengeneza mwanaume kihivyo. Na wengi wanaotengenezwa mwisho wa siku lazima waharibu vibaya, utajutaaaa
 
Aisee siwezi mtengeneza mwanaume kihivyo. Na wengi wanaotengenezwa mwisho wa siku lazima waharibu vibaya, utajutaaaa
Kweli kabisa, majuto uake ni makubwa mno. Bora nikute ready made.
 
Back
Top Bottom