Hivi wanaume wenzangu pesa zipo wapi

Hivi wanaume wenzangu pesa zipo wapi

Nimekujibu sababu umesema kuna mtu kanunua saa ya milioni tano ..nikakujibu kwamba huyo ana pesa za mawazo za savings kwa minajili kwamba itaongezeka akinunua hako kasaa..ndo mana alikuja hadi kufungua uzi kulialia humu
je wewe ushafikia uwezo huo?
 
Dogo inaonekana hujui na hujaelewa nilichoandika na ukikua utajua....huyo mo dewji unaemzungumzia kavikuta.

Subiri ukue utajua zaidi,maana mawazo yako unadhani watu hawafanyi kazi as if huwa wanakutegemea wewe uwapelekee mahitaji

Mo kavikuta lakini kavizidisha mara mia ya vilivyokuwepo
 
Hata wewe ungeweza, Kuna watu Wana mawazo mazuri Sana ya kibiashara wanakosa mitaji na sapoti, ndiyo hao mo anawachukua anawalipa mishahara midogo wanamtengenezea faida

Ukiangalia Miishahara ya metl unaweza kuzimia
 
Pesa zipo tatizo watu wengi wavivu au wanaridhika mapema mno, mtu akipata kazi inamlipa kimilioni moja anaridhika kabisa anaendelea kukomaa nacho miaka inapita badala ya kufikiria atajiendeleza vipi akue zaidi ya hapo.
Ukitaka kuishi lifestyle kama hilo fungua biashara yako mwenyewe, si kitu rahisi ndiyo ila usitegemee kufanikiwa hata siku moja kwa kumfanyia kazi mtu mwingine, kua na biashara yako mwenyewe au share kwenye kampuni kubwa kitu ambacho ni kilekile meaning una ownership asilimia flani ya profit.

Nilirudi bongo juzijuzi nimekutana na watu kelele kibao nikawaambia kwa nini usinunue vitu huku cheap peleka kule uza three four times hela uliyonunulia, mtaji wa laki ukageuka 5mil ndani ya miezi miwili, leo hii mtu anaishi hana mawazo tena ya wapi pa kulala wala mawazo ya msosi anakula anachotaka.

Siri ni kuacha uvivu, kujituma kupiga kazi basi. Matajiri wote wamepitia hilo, ondoa wale waliorithi mali za wazazi.
 
Mkuu naomba maujanja

Unanunua vitu gani cheap na unavipeleka wapi?
 
Back
Top Bottom