Airmanula
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 3,524
- 5,783
Wanaume wenzangu embu tuulizane kiutu uzima ..wale watoto wa chini ya miaka 18 mkae pembeni kidogo, wakubwa zenu tuongee..
Okey wanaume wenzangu hivi pesa zipo wapi, wengine wanazipata wapi aisee..watu wananunua migari ya mamilioni ya mashilingi, mtu anakuambia yeye kutumia milioni moja kwa siku sio ishu, ,yale madege makubwa ya Emirates first class anayapanda kila wiki, leo Ugiriki, kesho visiwa vya Maldives Spain, mara Bahamas, ananiambia tena ,,."mkuu pem...eti ananiita mkuu ...mkuu pem mimi nakaa hotel za kulipa milioni 20 kwa siku huko visiwa vya Maldives uhispania..nabaki kumeza mate tu. Sijaongea nyumba na yard ya magari ... Alhamdullilah uwii
Mara shopping yake kila wiki anamaliza milioni hamsini ..kama kununua saa tu ananunua saa ya dola laki moja tu..bado nguo, viatu..najiuliza kuna mahali labda wati wanajichotea mihela wenzangu..unaenda na lindoo lako lile la bafuni la kuogea unachota unaondoka zako..mana sio kwa kufuru hizi daah...mara katika hali.ya kushika tama na kumuangalia mara "kaka usisikitike sana..huku anacheka ..chukua basi hii dola 100 ya vocha"
Nasema kimoyomoyo..dola 100 ni ya vocha kwake??
Wanaume wenzangu embu tudiscuss hii issue kwa userious mkubwa sana..anyway kama una uchu na kusaka pesa karibu tujadili