Ujilidhishe vp au ww ni mmoja wapo wa wale wanaojiita masuperstar media ha ha haaaa hadi nijilidhishe. Furaha ya hii mitandao nikuwa na marafiki ndio raha yake.
Kama hutaki kuwa na marafiki jiondoe ubakie na google search tu.
+++Dada ukitongozwa co mbaya ila mbaya ni kukubali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.