Hivi wanaume tutaacha lini ubaba Fanuel

Hivi wanaume tutaacha lini ubaba Fanuel

Wakina baba fanueli ni wengi sana. Mmoja kamuaga mkewe anaenda dodoma kiofisi mke machale yakamcheza akamfuma maeneo ya tegeta.
 
huyo hana utofauti na jinga moja hivi litafia gesti ----- lile
 
Kama kweli ndoa yenu ni muunganiko wa watu wawili waliopendana na sio kutamaniana..unatakiwa ujue kuwa...mkeo ndio mwanamke mzuri kuliko wote duniani na ndio maana ukamchagua yeye miongoni mwa mamilioni ya wanawake warembo..na ukakiri kuwa huyo ndio chaguo la moyo wako kwa maana umempenda kutoka moyoni na unajisikia raha kuwa nae na ni karaha na huzuni kubwa kumkosa....hizo tamaa za kimwili ni miongoni mwa majaribu ya shetani kutaka kuivuruga ndoa yenu...kwa hiyo unapaswa kuyashinda majaribu...na kuijenga ndoa iliyo imara....
 
zamani nikuwa nadhani mtu akisha oa au kuolewa awezi kabisa kuwa na mpenzi mwingine na nilikuwa nikijiuliza ntatoka nje kutafuta nini wakati kilichopo nje nakiacha ndani.?... ila watu ni wachafu hasa makazini/bia.sharani kumejaa zinaa.
 
Nina rafiki yangu tunafanya nae kazi pamoja na mara kwa mara tumekuwa tukisafiri nae kwa shughuli za kikazi ila mwenzangu kazidi ubaba Fanuel.

Kila Mkoa tunaoenda ana mwanamke na hudiriki kumdanganya mkewe kwamba anasafiri kikazi kumbe ameenda kwa mchepuko wake.

Nimemkanya aache tabia yake imeshindikana kinachoniuma zaidi mkewe ni mstaarabu na mpole sana tatizo liko kwa mmewe nashindwa jinsi ya kuokoa ndoa hii.

He has a choice of his own life style,he needs to master his own affairs
 
Back
Top Bottom