Hivi wanaume nao wanahitaji kitchen party au tumekamilika?

kibol

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2012
Posts
4,636
Reaction score
2,885
Jana nimewahi kufika zangu homie,natafuta usingizi siupati kisa kelele za kitchen party ya wanawake cuz nilipopanga ni karibu sana na bar moja maarufu hapa town,infact walikuwa wanaelekezana mambo ya msingi eg how to handle a man within marriage na mambo mengine yanayofanana na hayo,nikajiuliza mbona sijawahi kusikia kitchen party ya wanaume?au sisi ndio hatuumii wake zetu kutoka nje ya ndoa?embu tusaidiane wadau kuna haja ya wanaume nao kupewa darsa before marriage au m'ke pekee ndio hajui majukumu yake?tafadhali tusaidiane ktk hilo..
 
nkurekebshe kidogo, cyo kwamba hatujui majukum ye2 huo ni utaratbu toka enzi za mababu na mabibi ze2 (initiation ceremony)! then inaonesha mwanamke yaani siye ndo madereva wa familia afu nyie ndo makonda watoto abiria so 2kiharibikiwa sisi manake na familia yaani gari (ndoa) haiendi that y jamii imeona i2pe kipaumbele cha kutupa masomo ili angalau majanga yapungue! Kuhusu nyie Mnahitaji darsa tena sana tu! Sema ndo hivyo tena mfumo dume !
 
Kwa aina ya wanaume wa siku hizi? Kuna haja ya kuwapeleka jandoni tena porini wakafunZwe jinsi ya kuishi na wake na kuwa vichwa vya familia
 
Yaan wanaume mnatakiwa mfundwe vya kutosha Kwa kwel..Coz unaweza kuta mtu mzma na akil zake anafanya kitu mpaka Unaduwaa..Nyie mna matatzo makubwa sana..Itabidi kitchen party za wakaka zireplace zile za wadad tuone mtakuwaje..Mnahitaj msaada mkubwa sana wababa wa kizazi hiki.
 
nafikiri tatizo halijaonekana bado ndio maana hakuna umuhimu huo,hii inanifanya niamini wanaume ni kiumbe cha tofauti kidogo,please tupeni heshima yetu,nyie ndio mna mapungufu kibao ndio maana mnahitaji kurekebishana,kufunzana na kuelekezana lakini sisi ma 99.9% hatuhitaji darsa la namna hiyo,thanks God for creating Williard cornel as a man.
 
Last edited by a moderator:
Yaan wanaume mnatakiwa mfundwe vya kutosha Kwa kwel..Coz unaweza kuta mtu mzma na akil zake anafanya kitu mpaka Unaduwaa..Nyie mna matatzo makubwa sana..Itabidi kitchen party za wakaka zireplace zile za wadad tuone mtakuwaje..Mnahitaj msaada mkubwa sana wababa wa kizazi hiki.

tufundweje sisi wakati nyie ndio mnamatatizo?endeleeni kurekebishana nyie kwa nyie ili ndoa zinazovunjika walau zipungue kidogo
 
nkurekebshe kidogo, cyo kwamba hatujui majukum ye2 huo ni utaratbu toka enzi za mababu na mabibi ze2 (initiation ceremony)! then inaonesha mwanamke yaani siye ndo madereva wa familia afu nyie ndo makonda watoto abiria so 2kiharibikiwa sisi manake na familia yaani gari (ndoa) haiendi that y jamii imeona i2pe kipaumbele cha kutupa masomo ili angalau majanga yapungue! Kuhusu nyie Mnahitaji darsa tena sana tu! Sema ndo hivyo tena mfumo dume !

sijakataa kurekebishwa na wewe mkuu ila nini kwa nini tokea enzi na enzi hili tukio limekuwa conducted kwa jinsia moja tu toka zamani?ina maana mimi baba siwezi kuwa mhimili wa familia yangu,mimi sihitaji kuelekezwa mambo kadha wa kadha ya namna ya kuishi na mke wangu vyema?au nyie ndio mlionekana wenye matatizo tokea awali?
 
Kwa aina ya wanaume wa siku hizi? Kuna haja ya kuwapeleka jandoni tena porini wakafunZwe jinsi ya kuishi na wake na kuwa vichwa vya familia

naweza nikakubaliana na wewe best ila kwa nini muda wote huo halijaonekana kama ni tatizo?unafikiri sisi ndio tutakuwa wa kwanza kugundua kuwa kuna haja ya wanaume nao kufundwa?nilipenda sana kitchen party ya jana cuz walikuwa wanaelekezana mambo ya msingi sana nikafikiri kuna haja na watoto wa kiume kufundwa kwanza kabla ya ndoa zao,au wewe unaonaje?
 
Hiyo kitchen party haiwasaidii coz really love come from heart likiongozwa na hisia and not mafunzo ya kitchen part soma tafiti upatapo utata
 
Jana nimewahi kufika zangu homie,natafuta usingizi siupati kisa kelele za kitchen party ya wanawake cuz nilipopanga ni karibu sana na bar moja maarufu hapa town,infact walikuwa wanaelekezana mambo ya msingi eg how to handle a man within marriage na mambo mengine yanayofanana na hayo,nikajiuliza mbona sijawahi kusikia kitchen party ya wanaume?au sisi ndio hatuumii wake zetu kutoka nje ya ndoa?embu tusaidiane wadau kuna haja ya wanaume nao kupewa darsa before marriage au m'ke pekee ndio hajui majukumu yake?tafadhali tusaidiane ktk hilo..

Kitchen party, bag party ya kiume ni usanii mtupu. Hivi jamani, kuna mtu anafundishwa mavitu rundo kwa siku moja? Kwa wenzetu west Africa kitchen party ni mieazi kama sita hivi. Mambo wanayofanya ni practical. Siku hizi si utani kuna wadada haatujui hata kutandika kitanda, kwa sababu kwao hawakuzoea kufanya hivyo. Tusiojua kupika tuko wengi mno, kama uongo basi wadada wenzangu naomba mniwie radhi. Kama si kutusanya vyombo,na michango isiyokuwa ya lazima utiiteje? Ka research kangu kadogo wanaokimbia kwenye nyumba ni wale tulioona kitchen party zao zikifanyika kwa mbwembwe.

Mimi nahisi tubadili style, kitchen party iwe practical, binti afundishwe kupika, kufua, kutandika, afya ya mwili wake, budget bila kusahau jinsi ya kuombea familia yake. walio wengi hata ukiwapa kufungua mlo kwa sala anatoa macho kama mabanwa na mlango. Aaah mimi simo ngoja nilale zangu kesho nikatumikishwe vizuri.
 
Hiyo kitchen party haiwasaidii coz really love come from heart likiongozwa na hisia and not mafunzo ya kitchen part soma tafiti upatapo utata

kusoma na kuelimika ni vitu viwili tofauti sana,ni heri aliesoma kuliko ambae hajasoma kabisa,pamoja na umbumbumbu wa aliesoma lakini kuna vitu viwili vitatu atakua amevishika,the same applies to women,pamoja na perception uliyonayo juu kitchen party mkuu lakini hao wanaofundwa huokota mawili matatu ya kuwasaidia ktk ndoa zao,mengine yanayotukia ktk ndoa hizo ni mapungufu ya kibinadamu ambayo mimi na wewe tunayo mkuu.
 
Kitchen party, bag party ya kiume ni usanii mtupu. Hivi jamani, kuna mtu anafundishwa mavitu rundo kwa siku moja? Kwa wenzetu west Africa kitchen party ni mieazi kama sita hivi. Mambo wanayofanya ni practical. Siku hizi si utani kuna wadada haatujui hata kutandika kitanda, kwa sababu kwao hawakuzoea kufanya hivyo. Tusiojua kupika tuko wengi mno, kama uongo basi wadada wenzangu naomba mniwie radhi. Kama si kutusanya vyombo,na michango isiyokuwa ya lazima utiiteje? Ka research kangu kadogo wanaokimbia kwenye nyumba ni wale tulioona kitchen party zao zikifanyika kwa mbwembwe.

Mimi nahisi tubadili style, kitchen party iwe practical, binti afundishwe kupika, kufua, kutandika, afya ya mwili wake, budget bila kusahau jinsi ya kuombea familia yake. walio wengi hata ukiwapa kufungua mlo kwa sala anatoa macho kama mabanwa na mlango. Aaah mimi simo ngoja nilale zangu kesho nikatumikishwe vizuri.

nashukuru kwa mchango wako mkuu,ndoa zetu nyingi zinaparaganyika now days cuz hatujui majukumu yetu,nguvu zetu nyingi tumewekeza kwenye mapenzi ya kitamthilia zaidi,mwanaume hajui majukumu yake vivyo hivyo mwanamke,tusipokubali kurudisha misingi ya awali tutakuwa tunaoana na kuachana kama yalivyo mapenzi ya Fb
 
Hakuna mafunzo thabiti yapatikanayo siku moja afu kitchen party nw adays imevamiwa
 
unayosema ni kweli kabisa,ila the key point of mine ni kuwa hilo darsa huru pia kwa wanaume linahitajika,it doesnt matter ni usiku mmoja wiki au mwezi,kuna mambo ya msingi ya kuelekezana sie kama wanaume vile vile.
 
Ujue mkuu sie walume tupo real tunaambiana ukweli asilimia kubwa so hatuhitaji haya mafunzo kwa style hii ila mafunzo yapo namna ya kuishi na mke ingawa si rasmi Sana
 
sasa hakuna haja ya kuyarasimisha ili kusaidia hawa wadogo zetu wa kidijitali?kwa kipindi hichi tulicho jinsia zote zinahitaji kufundwa rasmi ilikujenga uwezo wao wa kuhimili mikikimikiki ya ndoa,nafikiri hili linahitaji time vile vile na sio km vile wanavyofanya dada zetu na mama zetu yaani one night stand.
 
Uko sahihi mkuu ila hata dada zetu mafunzo wayapatayo na style ya ufundishaji binafsi naona sio njema coz trainers wengi hawana ndoa zimewashinda mashangingi wengi dat y hata maana halisi wanaiharibu ona wanavyofundishana hasa aw mjini zamani shangazi ndiyo aliyekuwa responsible kumfunda binti nw adays wanakodi wanaleta taarabu dsm ni Aibu yatendekayo
 
naweza nikakubaliana na wewe best ila kwa nini muda wote huo halijaonekana kama ni tatizo?unafikiri sisi ndio tutakuwa wa kwanza kugundua kuwa kuna haja ya wanaume nao kufundwa?nilipenda sana kitchen party ya jana cuz walikuwa wanaelekezana mambo ya msingi sana nikafikiri kuna haja na watoto wa kiume kufundwa kwanza kabla ya ndoa zao,au wewe unaonaje?

Ndugu yangu mafunzo kwa wanaume yalikuwepo na kwa kabila zingine bado yapo.huwa yanaitwa jando.Kwa wanawake yalikua yanaitwa unyago,
Siku hizi ndio yaanafanyika ki mjini mjini,mambi ya dot,com
 
Uko sahihi mkuu ila hata dada zetu mafunzo wayapatayo na style ya ufundishaji binafsi naona sio njema coz trainers wengi hawana ndoa zimewashinda mashangingi wengi dat y hata maana halisi wanaiharibu ona wanavyofundishana hasa aw mjini zamani shangazi ndiyo aliyekuwa responsible kumfunda binti nw adays wanakodi wanaleta taarabu dsm ni Aibu yatendekayo
uko sawia mkuu wangu, binafsi vijana wa kileo hawadumu ktk ndoa kabisa, kitu kidogo fujo, vurumai nk tatizo ni kuwa hawajafundwa namna ya kuchukuliana ktk ndoa, kila mmoja now days anajiona ndio decision maker, utandawazi unawamaliza wadogo zetu, nafikiri kuna haja sasa ya kuitizama hii ishu upya na kuanza kutoa elimu ianayoendana na wakati tuliopo ili kuokoa wadogo zetu na haya mafuriko, vinginevyo tutakuwa ni watu wa kulizungumzia hili suala miaka nenda miaka rudi bila kupata suluhisho.
 
Ndugu yangu mafunzo kwa wanaume yalikuwepo na kwa kabila zingine bado yapo.huwa yanaitwa jando.Kwa wanawake yalikua yanaitwa unyago,
Siku hizi ndio yaanafanyika ki mjini mjini,mambi ya dot,com

at least kwa wanawake yapo ila kwa wanaume ndio hakuna kabisa, nafikiri kuna haja ya kutafuta namna ya kuwaelimisha wadogo zetu wa kiume kabla ya wao kuingia ktk muunganiko huo mtakatifu kuwa wakisha ingia huko inatakiwa waishii hivi na hivi, ni namna gani ya kuwa baba bora wa familia yako na kadhalika, namna gani ya kuwa mume bora nk
 
Back
Top Bottom