Hivi wanaposema jipende mwenyewe unatakiwa ujipende kwa vitu/namna ipi?

Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
Mi natolea mfano kwenye kupata hela... unapopata hela anza kujiangalia wewe kwanza halafu mengine yafuate

sasa wewe unapata hela unaanza kuwaza kulipa madeni, Hapana upe mwili pole kwanza ili upate nguvu ya kufanya mengine.. (KULA VIZURI , VAA VIZURI NA UJIPENDE KWANZA)

Self love is important
 
Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
Piga puchu yakuhonga kamwagilie moyo
 
Hilo ni neno linalotumiwa sana na wanasaikolojia kwa watu ambao wanahangaika kujua thamani yao kwenye haya maisha na wanastruggle kujua wata exist vipi.

Kujipenda mwenyewe ni aina ubinafsi sababu utafocus kwenye mahitaji yako wewe personally na utaacha wajali wengine automatically hii itakufanya uchukiwe zaidi na utazidi kuwa mpweke.

Binadamu sisi ni social animals ndio maana hatuwezi kaa mbali na wanadamu wenzetu au kuishi kwenye jamii bila mahusiano.

Kimsingi mtu akikwambia jipende ni swala la muda tu hadi utakapo realize kuwa hakuna kitu kama hicho. Unajipendaje sasa?

Kujinunulia chakula, kujinunulia mavazi, kujikumbatia, kujitomba mwenyewe? How is that even possible?

Kimsingi kupendwa ni jambo ambalo litakutokea kama utaruhusu interaction kati yako na watu wengine. Achana na hizi mbaga za love yourself first, utaishi kama digidigi maisha yote.

Ukiwa na mentality ya kusema kujipenda motivation yako itakuwa ni kupewa attention, kupewa vitu, kuexpect wengine wakufanyie jambo kwanza ndipo ureciprocate the efforts.

Utazeeka mwenyewe hakuna mtu anavutiwa na mtu mbinafsi.
 
Kwanza lazima uanze kufanya yafwatayo ndipo ufikie level ya juu ya kujipenda

•Kujitambua
•Kujisamehe
•Kujifahamu
•Kujielewa
•Kujikubali
•Kujipenda
 
Ninavyojua kuibahili nafsi yako ni dhambi
Yaani una uwezo hela unazo ila vaa yako ni nguo za zamani tu hubadiliki au hata mlo wako ni shida tu unajibahili na kujinyima hata kula mara moja moja mahotelini
Naona hapo ndio maana ya kujipenda ila naona watu wanafikiri kujipenda kama Penzi vile hapana

Mimi nini likizo ya wiki nzima na hela ninayo nisiende Casablanca kutalii na nauli hela ya mbuzi
Sio lazima uwe tajiri ndio ujipende hata ukiwa wa kawaida unaweza kuwa na furaha kuliko millionaire
 
Hilo ni neno linalotumiwa sana na wanasaikolojia kwa watu ambao wanahangaika kujua thamani yao kwenye haya maisha na wanastruggle kujua wata exist vipi.

Kujipenda mwenyewe ni aina ubinafsi sababu utafocus kwenye mahitaji yako wewe personally na utaacha wajali wengine automatically hii itakufanya uchukiwe zaidi na utazidi kuwa mpweke.

Binadamu sisi ni social animals ndio maana hatuwezi kaa mbali na wanadamu wenzetu au kuishi kwenye jamii bila mahusiano.

Kimsingi mtu akikwambia jipende ni swala la muda tu hadi utakapo realize kuwa hakuna kitu kama hicho. Unajipendaje sasa?

Kujinunulia chakula, kujinunulia mavazi, kujikumbatia, kujitomba mwenyewe? How is that even possible?

Kimsingi kupendwa ni jambo ambalo litakutokea kama utaruhusu interaction kati yako na watu wengine. Achana na hizi mbaga za love yourself first, utaishi kama digidigi maisha yote.

Ukiwa na mentality ya kusema kujipenda motivation yako itakuwa ni kupewa attention, kupewa vitu, kuexpect wengine wakufanyie jambo kwanza ndipo ureciprocate the efforts.

Utazeeka mwenyewe hakuna mtu anavutiwa na mtu mbinafsi.
Pengine mnalichukulia neno kujipenda literally kama lilivyo. Mimi nadhani kujipenda ni hatua muhimu sana kama unataka kuishi maisha mazuri. Kujipenda kwa kifupi ni kujithamini, kujiamini na kujikubali. Kama wewe ni mwanamke basi unatakiwa kujithamini i.e. kujiamini kama ulivyo, kutokukubali mwili wako kuchezewa na wanaume hovyo, kwa kifupi jitambue, jiamini na jithamini wewe kwanza. Ipende asili yako, lipende umbo lako, ipende culture yako. Hii pia na kwa mwanaume.
 
Kwanza lazima uanze kufanya yafwatayo ndipo ufikie level ya juu ya kujipenda

•Kujitambua
•Kujisamehe
•Kujifahamu
•Kujielewa
•Kujikubali
•Kujipenda
Asante sana. Hata mimi nimewaambia hivyo hivyo. Wao naona wanachukulia hilo neno literally kama lilivyo, kuwa kijipenda ni kuwa mbinafsi na kudharau wengine.
 
Food, shelter and clothes
Nisiaidie kwa kukazia kwa Kiswahili

1.Kula na Kunywa kwa Afya,burudisha Mdomo na Tumbo haswa kwa afya

2.Jijengee au panga makazi Bora zaidi ya jana Ishi kama Mfalme au Malkia pasipo kusumbua roho za watu.

3.Vaa Pamba za maana acha kukaa kama Ngedere mtini.Vaa kwa Heshima na kwa staha.

4.Tumia hela zako kutembelea maeno makali makali na jione fursa mupyaa.Angalia watu jinsi wanaishi Maisha yenye kutumia pesa.

5.Drive Gari kali kama pesa inaruhusu,wewe kama wewe kaa kwenye ndiga kali..

Yapo Mengi mno,tengeneza furaha yako.

Kama ni wanaume acha kujipa mastress na Mbunyee bila sababu.Wacha Mbunye zikuje zenyewe...😀😀😀😀😀😀
 
Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
Jipe ww kipaumbele kwanza.
Fanya vile vinakufurahisha. Kula vizuri. Vaa vizuri. Kapunge upepo.
 
Mara nyingi naona watu wanasisitiza mtu aanze kujipenda mwenyewe kabla hajapenda wengine
Ni kwa namna ipi utasema au kuprove kwamba hapa najipenda mwenyewe yani ufanye vitu gani vinayothibitisha kujipenda wewe kama wewe na kujipa kipaumbele??
Njia pekee ni kuwapandishia mademu vioo na kua busy na mambo yako ya faida watakufata wenyewe na wakija usihonge kuwa bahili na smart na mtu wa kupenda na kujali wengine siyo kimapenzi
 
Back
Top Bottom