johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,145
Utakula vitumbua mpaka uvimbiwe ww ni nani wa kula kekiNazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.
Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?
Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?
Maendeleo hayana vyama!
Duh aise naona umeamua kuniuaaaNazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.
Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?
Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaaa...... Bwashee nilidhani bado uko Kahama!Duh aise naona umeamua kuniuaaa
Sawa mtani subiria na wewe dozzy iko
Njiani
Ova
Haya bhana!U
Utakula vitumbua mpaka uvimbiwe ww ni nani wa kula keki
Hahahaaaa........!Pana walla keki na walla kokoto