johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,873
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.
Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?
Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?
Maendeleo hayana vyama!