Hivi wanaofaidi keki ya taifa ni nani hasa kati ya Wananchi na Viongozi?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,561
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.

Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?

Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?

Maendeleo hayana vyama!
 
nyie ndo mpo huko juu mnaongea huku mmeshiba mabaga. tulia dunia ndo ilivyo hakuna usawa
 
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.

Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?

Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?

Maendeleo hayana vyama!
Utakula vitumbua mpaka uvimbiwe ww ni nani wa kula keki
 
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto.

Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa?

Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi ndio zinatengeneza hiyo keki, je kuna mrejesho wowote wa keki kwa hawa waponda kokoto wasiokwea V 8?

Maendeleo hayana vyama!
Duh aise naona umeamua kuniuaaa
Sawa mtani subiria na wewe dozzy iko
Njiani

Ova
 
Jibu ni viongozi ukisikia wanatumia VX ya million mia nne iyo bei ambayo haipo sokoni unadhani hapo mnufaika ni nani na hapo ni fedha za wananchi ambazo zipo kwenye mgongo wa kodi utasikia vikao vyote viriridhia hayo matumizi kwa hiyo kisheria yapo sawa...
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom