Hakuna michepuko ni kudumisha eti.Inasikitisha sana, lakini ndo vile tena. Mwanaume anaoa huku anauwaza mchepuko wake, mwanamke anaolewa huku kidumu kiko pembeni. Maskini... kwanini hatuwazi juu ya baadaye, je, hatujui nini kinafuata juu ya familia uliyoianzisha. Kwani lazima uoe/uolewe kama unajiandaa kuchepuka baadaye? INAUMA SANA...
ni lazima
Vipi mkuu umeoa lakini? unasemaje kuhusu familia uliyoianzisha, huoni kama unaidhulumu?
Vipi mkuu umeoa lakini? unasemaje kuhusu familia uliyoianzisha, huoni kama unaidhulumu?