Hivi wanakula samaki na dagaa?

Hivi wanakula samaki na dagaa?

Wale ninaowafahamu hakuna mnene, nina shemeji kutoka Jamaica ni vegetarian, yupo 72 ila ana mwili mzuri hutaamini, nyama tunazipenda lakini wala sio nzuri kwa afya.
Yeah... kuna unabii wa EGW niliusoma kuhusu afya, watu wanaangalia pesa tu! kuliko kujali afya ya mlaji .... ngoja wanipe mwongozo!!
 
Kuna vegetarian kwa sababu ya maamuzi (uamuzi binafsi)
na kuna vegetarian kwa sababu ya changamoto za kiafya (Alergy)
na kuna vegetarian kwa sababu ya kiimani (dini ya wasio kula Nyama)

Inategemea uko katika kundi gani
Kama ni lile la maamuzi; wengi hawali red meat (nyama nyekundu) ila nyama nyingine zote wanakula nk nk
Hao sio vegetarian tena

labda unazungumzia hawa
Pollotarian , Pescetarian, Flexitarian
 
Kuna vegetarian kwa sababu ya maamuzi (uamuzi binafsi)
na kuna vegetarian kwa sababu ya changamoto za kiafya (Alergy)
na kuna vegetarian kwa sababu ya kiimani (dini ya wasio kula Nyama)

Inategemea uko katika kundi gani
Kama ni lile la maamuzi; wengi hawali red meat (nyama nyekundu) ila nyama nyingine zote wanakula nk nk
Asante mkuu kwa mwongozo mzuri mimi niko kwenye uamuzi binafsi...
 
Kitu chochote kinachohusiana na wanyama hawali. Labda kama ni veggie wa kubipu.
Hahahhhh nadhani sometime inategemeana na mazingira, kuna sehemu unaweza kukuta mboga rahisi labda ni dagaa tu hapo naweza kutumia..
 
Mimi ni vegetarian na situmii kiumbe chochote.

Ila kipindi fulani maisha yalikuwa magumu nikala ugali kwa picha ya samaki. Picha tu!
 
Vegetarian can eat fish always.
Vegan eat only the veggies,no Milk no nothing,
But theyre good to swallow the sperm of one idiot WHO already ate kitimoto.
The world is full of vichaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom