Hivi wanachofanya wabunge wa CHADEMA ni haki kweli!?

Mungu ibariki chadema, wabariki viongozi wake, heshima,umoja na amani mungu ibariki chadema na watu wake tubariki wanachamatubariki wanachama wabariki wabunge wa chadema
 
Sina uahakika uliandika kama unafuatilia bunge kwa makini?au la unafuatilia kwa ushabiki.
kwa kifupi karibu wabunge wote wamekosa mvuto bungeni na ndio maana bunge la sasa linaitwa THE COMEDY ikiwa na maana hamna ya muhimu yanayozungumzwa.sijui kama umewahi kufatilia kwa upande wa wabunge wa chama tawala wakiongea hakuna mpinzani ukiingilia kati kwa kuomba mwongozo inakuwa shida ila mpinzani akiongea na mbunge wa chama tawala akiingilia kati kwa kuomba mwongozo hakuna shida.Ndio maana wabunge wa upinzani lazima walalamike kuwa wanaonewa na ni haki yao kulalamika sababu unaonekana waziwazi hata kwa sisi watazamaji.
Tubadilike hata kama tumeagizwa hivyo na chama kuwaminya wapinzani.

We nani kakudanganya wabunge pinzani hawaombi mwongozo chama tawala wakiwa wanaongea! hata kama wanalalamika lkn hiyo si style nzuri ya kuwasilisha kunyanyaswa kwao wafate utaratibu. wao ndo chanzo cha kuonekana Comedy
 
Ni haki tena sana maana CCM na wewe umezoea kuonea Wapinzania Tazama Bunge la Uingereza jinsi wanafanya na sembuse nyinyi na CCM yako!! Tena CHADEMA kazaneni tena Sana na Hongera sana kwa Kazi nzuri!! Kwanza tuelezeni madudu yenu yote na kwanini tuna matatizo ya umeme mpaka leo
 
Sawa sikatai spika was wrong na hakutenda haki lkn kwanini wapige kelele makofi wanaongea bila mpangilio wanaharibu utaratibu wa Bunge!

Katika jamii ambayo mamlaka zinakandamiza haki au kuvunja sheria, njia pekee ya kurudisha haki kwa wanyonge ni kuvunja sheria/kanuni zilizopo ili mkandamizaji atakapoanza kumdhibiti mvunja sheria agundie alipopotoka.

Hii ndiyo sababu watu wakishajitangaza waasi haraka jamii ya kimataifa huwatambua na kuwalinda mpaka hapo serikali /mamlaka husika itakapokaa meza moja na hao watu ili kupata sheria/kanuni mpya zitakazofuatwa na wote.

Kwa tukio lililofanywa na CDM ni kama hoja niliyotoa hapo juu.
THEREFORE:- cdm ARE RIGHT TO DO WHAT THEY DID. IN FACT THEY COULD HAVE DONE MUCH WORSE THAN THAT TO DRAW ATTETION!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
HTML:
Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini Ovyoooooooooooooooooooo tena kamaTundu Lisu ndo nothing.

Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa CCM ya kuwa mihuri ya serikali kupitishia bajeti na sheria za hovyo. hivi wananchi wamewatuma bungeni kupanua midomo yao tu eti ndiyooo kwa kila kitu hata kama ni upupu. Wabunge CCM hovyoooooooo, tena kama Steven wasira kazi yake kulala tu bungeni, hata ushahidi ninao.
 
Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini Ovyoooooooooooooooooooo tena kamaTundu Lisu ndo nothing.
Unataka kusema umakini wa wabunge wa CCM ni kula hela zetu waziwazi na kutuacha maskini??
 
Let's focus the future taratibu watajifunza jinsi ya kuongea kwa mpangilio
Nakuunga mkono 100% hasira za wananchi zimewajaa maovu wanayoyajua then wakiona jinsi ambavyo CCM inavyofilisi hii nchi kwa mipango bajeti za kijinga zisizomjali mwananchi lazima upate hasira
 
Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini Ovyoooooooooooooooooooo tena kamaTundu Lisu ndo nothing.

Wa magamba mnapenda sana kutafuta umaarufu bila kuvuja jasho
 
Nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini Ovyoooooooooooooooooooo tena kamaTundu Lisu ndo nothing.

You are living in another planet..
 
Hebu tuambieni, frankly, wana CCM mnajivunia utendaji ws serikali hii? Nchi iko gizani, rushwa nje nje, mpaka bungeni, wanashindwa mahakamani ..... nini cha kuwafanya wabunge wa CCM wasahau kazi yao ya ubunge na kubakia kuisaidia serikali kujibu hoja? Nini hasa?

Ninavyojua wabunge wanapaswa kusimamia serikali - sasa kama kila kitu inachosema serikali, ambayo ushahidi kuwa ina underpeform upo, wanaitetea kuna haja gani kuwa na wabunge?
 
Kama kweli hawa wabunge wangekuwa na Busara walitakiwa wawaombe radhi wananchi waliowachagua kuingia bungeni.

Kwani wamejionyesha dhahiri ni watovu wa nidhamu kwa kuvunja kanuni za Bunge na kuleta dhihaki kiti cha Spika.

Waombeni radhi waliowachagua na kutubu kuwa hamtarudia tena makosa kama hayo.
 
kaaazi kweli! nadhani tatizo lako ni upeo mdogo...! unaweza kuniambia mwongozo ni nini katika bunge letu? unafikiri kati ya lukuvi na akina lisu ni nani alieyeanza kuvunja kanuni za bunge! vipi kaka mbona unazungumza kama unaishi kwenye pango! unalifuatilia bunge kweli wewe au unaangalia tu post humu ndani halafu unachangia.!
 
Wabunge wa CDM wa kipindi hiki ni wingi wa Inzi tu, nakumbuka bunge la kipindi cha Dr Slaa, CDM walikuwa na wabunge wachache lakini wenye vision ya hali ya juu!

Hawa wa sasa ni Wahuni hawana nidhamu hata kidogo kama Lema na Lissu ni watu wa violence kila sehemu

Shida yenu magamba ni moja. Mnajiona ninyi ndiyo ninyi tu. Kwa kuwa mmeshapora mali zote za nchi na kujiwekea vijisenti huko duniani basi mnaona ninyi ni watawala kwa hiyo mna haki ya kutoulizwa kwa chochote mnachokifanya.

Na ninyi mnaoshabikia huu ujambazi wa akina magamba muende mkapimwe akili zenu. Dalili zote zinaonyesha magamba wenzenu wameshawapumbaza kwa sababu ya kuvaa ile minguo ya kijani sasa hamna hata la maana mnalowaza zaidi ya kushabikia upumbavu. Wenye akili wameamka na hawakubali tena uteja wa magamba
 
Inakuwaje wabunge waupinzani wakiomba mwongozo wa kutaka kiti kisihujumu kanuni za bunge wanaonnekana watovu wa nidhamu,move ya jana ilisaidia sana kwani ilibidi Lukuvi akalishwe na hakuendelea na hotuba zake manake angeachwa angepotosha hotuba ya kambi ya upinzani,nadhani Lukuvi ameshajifunza sasa kwamba watu wako tayari kusindikizwa na askari nje ya geti la ubunge ili haki itendeke,ona sasa walivyouzwa sura kwa gharama ndogo tuu
SARAKASI-1.jpg
 
we mkurya wa wapi?
Watu wanapaza sauti za ukombozi na sio kelele.

Wewe unataka kusema ndo wanaopga makelele?leta hoja humu,sio kwa vile nyangine(bosi wako) mwoga wa kutetea wananchi nawe unaleta sera zako za uwoga humu.

Nakushauri ukaondoe kathread kako!!
 
nasikitishwa sana na tabia wanazoonyesha wabunge wa chadema ya utovu wa nidhamu kuongea wakati spika hajaruhusu, kupiga makofi pasipo sababu, kuongea kwenye mic wakati umekaa. Mmetumwa na wananchi kwenda kuwakilisha majimbo yenu sina tutafuta majina. Watu wazima lakini ovyoooooooooooooooooooo tena kamatundu lisu ndo nothing.

kwa mtu mwenye akili timamu na busara atajibu si sawa, jibu ambalo ni sahihi kabisa. Ila tukigeuza upande wa pili wa shilingi utakuta kuna wabunge wa ccm wanafanya tabia za kipuuzi hali inayopelekea hawa masela wa cdm kulipuka tu kwani busara kwa baadhi yao ni ndogo.

Wabunge wengi wa ccm wanaofanya upuuzi kama huu wa malimbukeni wa cdm ni wale wa viti maalum. Tunaomba wabunge wote wa ccm na upinzani kwa ujumla wajirekebishe hatukuwachagua wakatuoneshe wanayoendelea kutuonesha.
 
We cjui hata km kichwa chako kizima? We ulitaka wawe kama wabunge wa ccm walale2 bungeni? Hata kwnye haki wakae kimya? Kama hao wakina fulukunjombe cjui! Chadema mwanzo mwisho hadi kieleweke hata roma haikujengwa kwa ck1 1dei utajua wabunge wa chadema wanamaanisha nn!
 
Back
Top Bottom