Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,092
- 43,265
Nimejikuta niamue kuuliza tu..hivi lile jengo la abiria uwanja wa ndege Mwanza lilishaisha na kuanza kutumika? Maana updates tunazopata kwa kiwango cha dozi za kisonono ni mambo ya SGR...
"Kipande hiki kimeanza"
"Kipande hiki ni asilimia 70"
"Wakazi wa Kigoma mwisho wa reli wakae mkao wa kula"
"Sasa tunaleta SGR hadi Arusha"
"Tunafikiria kupeleka SGR hadi Katumba Songwe kwa kina mwanakijiji"
Ila hili jengo la Mwanza haruringishiwi kabisa
Kuna Waziri anayesimamia hii sekta?