Hivi Walimu wa nchi hii tumemkosea nini Magufuli hata atutende hivi?

Lakini tatizo nini? Wangewalipa tu hiyo hela yao kama ni kweli hawajawalipa ijapo mlalamikaji haja sema ni siku ngapi zimepita tangu wamemaliza kazi.
1:Chombo kama hiki kulalamikiwa nadhani siyo sahihi kwasababu kuna maisha na mstakabali wa maisha ya watoto yapo mikononi mwa
2:Ni vema wangeelezwa km pesa itachelewa kidogo kwa sababu malalamiko haya hayapaswi kuwa hapa,kwani kazi Ile ni ya siri na unyeti
3:Wahusika pia waliaangalie swala hili kwa umuhimu wake kwani ni rahisi kubadilisha taswira ya kazi yenyewe
Uzi huu katika mahali hapa kiukweli hauleti taswira nzuri kwa pande zote. Kazi maalumu achilia kwamba ni nyeti lakini pia ni endelevu. Kuna mmomonyoko wa kima adili hasa ya utumishi katika umma nauona kwa mbali. Jambo hili liangaliwe kwa uzito stahiki hasa hasa kama mamlaka husika zinaliona hili.
Lakini tatizo nini? Wangewalipa tu hiyo hela yao kama ni kweli hawajawalipa ijapo mlalamikaji haja sema ni siku ngapi zimepita tangu wamemaliza kazi.
1:Chombo kama hiki kulalamikiwa nadhani siyo sahihi kwasababu kuna maisha na mstakabali wa maisha ya watoto yapo mikononi mwa
2:Ni vema wangeelezwa km pesa itachelewa kidogo kwa sababu malalamiko haya hayapaswi kuwa hapa,kwani kazi Ile ni ya siri na unyeti
3:Wahusika pia waliaangalie swala hili kwa umuhimu wake kwani ni rahisi kubadilisha taswira ya kazi yenyewe
 
Mkuu ukipeleka unakuwa noted...
Ukifika kituoni inafuata barua.. Ka ulikuwa kijijini panapofikiaka...sasa unatupwa chakaa ambako hata network hamna...
This field!!!!!??

Haya mambo kwanini msimwambia Rais magufuli, anapita kwenye mikutano ya hadhara, barabarani kwanini usitundike bango juu kujitoa mwanga tu ili ujumbe ufike
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual increment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?
Pale mnapokuwa mnaombwa nae kumsaidia Kuiba Kura apite pamoja na Chama chake na Kulipwa huwa pia mnakuja Kumshukuru Mitandaoni au?
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual increment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?
Mwambie alipe na arrears mishahara kwa waliopandishwa madaraja tangu 2018 April mosi. Hili linamuumiza Sana my wife.
Hili la likizo kwa kweli ni tatizo sugu mno! Kwanini asiruhusu mwalimu apewe mshahara mmoja yaani basic salary kwa akili ya likizo bila kujali idadi ya wategemezi atakaoambatana nao Kama wanavyofanyiwa wafanyakazi wengine wa mashirika ya umma kuliko kumkadiria kwa nauli za Sumatra?
 
Mishahara yetu duni... Tumekubali

Posho ya mazingira magumu hamna.. Tumekubali

Madaraja hatupandi.. Tumekubali

Annual increment hamna.. Tumekubali.

Pay leave..likizo ya malipo hamna... Tumekubali.

LAKINI

Hata hili la kazi maalumu, kweli kabisa hutulipi. Yani mitihani imesahishwa,tumerudi nyumbani.. Mpaka leo? Kweli!?

Hivi Ualimu ni laana?
Nyinyi ndio huwa mnashririkiana na maccm kusimamia zoezi la kupindua matokeo ya kura za wananchi. Acha muisome namba.
 
Angalia hata Zanzibar rais wao anawaita sekta ya afya anaongea nao manesi lakini huwezi kuona rais akiwaita kuongea na mialimu.
We jamaa hawa watu wamekufanya nn asee japo wanaupuuzi wao, ila ww unaonekana unachuk nao yawaz halaf umejipambanua kua uko wizara ya afya we utakuja kudunga mtu sindano yasumu wew
 
Mkuu subiria faini watakazotozwa wanunuzi waliosahau kuchukua risiti kutoka kwa muuzaji...

Kiufupi pesa hakuna,kwa hyo kunywa maji ili upunguze msongo wa mawazo.
 
Jamani, nafikiri lengo la mleta mada hii kwa wana jamii ni kupata mawazo na hata faraja kama mwana jamii. Nimesoma komenti nyingi zinakosa japo neno la faraja. Tukumbuke kuwa ualimu ni kazi ya heshima. Popote ukimtaja mtaalamu wa aina yeyote ni sharti awe amefundishwa na mwalimu. Ni vema ikiwa tutawaheshimu waalimu na kusikitika nao pale haki zao zinapokosekana. Niwape pole waalimu kwa kukosa stahiki zao kwa wakati. Niwatie moyo kwamba msikate tamaa. Fuatilieni madai yenu kwa utaratibu uliopo kwani serikali ni sikivu wakati wote. Ukiona usiku umeendelea jua mchana nao pia waja.
Eti serikali ni sikivu muda wote.Watu wamelalamikia vitu vingi Kama ajira na watu kuchapwa VIBOKO, serikali sikivu muda wote iko wapi?Hivi nyinyi huwa mnafikiriaje?Kwa kutumia tumbo au?Au kwa vile mnanufaika na mfumo?
 
We jamaa hawa watu wamekufanya nn asee japo wanaupuuzi wao, ila ww unaonekana unachuk nao yawaz halaf umejipambanua kua uko wizara ya afya we utakuja kudunga mtu sindano yasumu wew
Hili suala la NECTA siungi mkono walimu kulileta humu JF.Ila kwa upande mwingine walimu ndio kikwazo cha maendeleo hapa nchini.Kwanza wengi wao waoga na elimu zao za kujua kufundisha mada za masomo tu.Nje ya hapo ni wajinga wa kutupwa.
 
Ulitaka tulipeleke wapi!??

Walimu wanadharaulika sana nchi hii...
ENOUGH...

WE HAVE HAD ENOUGH.
 
mkuu kua na subra, hela italipwa, TANZANIA ya Raisi wetu mpendwa jpm kila mtu atapata haki yake, nakuomba uvute subra, pia hapa sisehemu salama kuleta jambo kama hili hapo maana kazi hiyo ni siri kua mzalendo
Hawa ndio wasaliti wa viapo vyao. Kuna namna nzuri sana ya watu wa aina hiyo kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom