So vyuo vya ualimu huu vifutweSio Dk. mkuu MPE muite prf Ndalichako ,,binafsi aijui japo najua fika kuna masomo y sayansi ,sanaa ,hisabati na biashara ,,lkn biashara haijazungumziwa na waziri ,,mkanganyiko zaidi ni pale mfano m nmsoma economics & geo (biashara na Sanaa) ,nafikiri biashara hatuhitajk saiv cz hata shule zke ni chache xn xn huo ndo ukweli
Haviwezi kufutwa tu kwa sababu tu serikari haiajiriSo vyuo vya ualimu huu vifutwe
Mkuu umeandika nini hapoSio Dk. mkuu MPE muite prf Ndalichako ,,binafsi aijui japo najua fika kuna masomo y sayansi ,sanaa ,hisabati na biashara ,,lkn biashara haijazungumziwa na waziri ,,mkanganyiko zaidi ni pale mfano m nmsoma economics & geo (biashara na Sanaa) ,nafikiri biashara hatuhitajk saiv cz hata shule zke ni chache xn xn huo ndo ukweli
Kuna pande mbili tu Sayansi na Sanaa hayo mambo mengine sijui commerce,book keeping,store keeping ni matokeo tu ya either science or art.Masomo hayo hata vitabu vya kiada kwa level ya secondary hayana.Juzi nimemsikia Waziri wa Elimu dr. Ndalichako akitoa maelekezo ajira kwa walimu kuwa wale wa sayansi watume maombi, wa art wapo nyomi waendelea tu kupiga maktaimu mjini,
Je hawa biashara yaani wa Commerce na Book keeping mmewamix hukohuko art ama?
Maana hamuwataji na hawajielewi kama nao watume maombi ama watafute mashamba mjini..!!!!!
Lakini havizaliashi graduates wengi kama wa elimu, labda tu huyo mkuu angesema vipunguze idadi ya wadahiliwa.Haviwezi kufutwa tu kwa sababu tu serikari haiajiri
Kuna kozi nyingi tu ambazo wahitimu wake hawaajiriwi na serikali na bado vyuo vinadahahili
Lakini havizaliashi graduates wengi kama wa elimu, labda tu huyo mkuu angesema vipunguze idadi ya wadahiliwa.
Automaticaly wateja watapungua kulingana na demandLakini havizaliashi graduates wengi kama wa elimu, labda tu huyo mkuu angesema vipunguze idadi ya wadahiliwa.
Huu ni uchochezi. Kama we ni new ticha apply private school au ufanye business achana na mijadala kuhusu serikali na ajiraJuzi nimemsikia Waziri wa Elimu dr. Ndalichako akitoa maelekezo ajira kwa walimu kuwa wale wa sayansi watume maombi, wa art wapo nyomi waendelea tu kupiga maktaimu mjini,
Je hawa biashara yaani wa Commerce na Book keeping mmewamix hukohuko art ama?
Maana hamuwataji na hawajielewi kama nao watume maombi ama watafute mashamba mjini..!!!!!