Mau Mau
JF-Expert Member
- Dec 30, 2012
- 671
- 478
Juzi nimemsikia Waziri wa Elimu dr. Ndalichako akitoa maelekezo ajira kwa walimu kuwa wale wa sayansi watume maombi, wa art wapo nyomi waendelea tu kupiga maktaimu mjini,
Je hawa biashara yaani wa Commerce na Book keeping mmewamix hukohuko art ama?
Maana hamuwataji na hawajielewi kama nao watume maombi ama watafute mashamba mjini..!!!!!
Je hawa biashara yaani wa Commerce na Book keeping mmewamix hukohuko art ama?
Maana hamuwataji na hawajielewi kama nao watume maombi ama watafute mashamba mjini..!!!!!