Hivi walimu masomo ya BIASHARA mbona hawatajwi ajira mpya ama Wanaendelea Kuisoma????

Mau Mau

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
671
478
Juzi nimemsikia Waziri wa Elimu dr. Ndalichako akitoa maelekezo ajira kwa walimu kuwa wale wa sayansi watume maombi, wa art wapo nyomi waendelea tu kupiga maktaimu mjini,
Je hawa biashara yaani wa Commerce na Book keeping mmewamix hukohuko art ama?
Maana hamuwataji na hawajielewi kama nao watume maombi ama watafute mashamba mjini..!!!!!
 
ni shule ngapi za serikal zinafundisha masomo ya biashara?..labda tuanzie hapo.
 
Sio Dk. mkuu MPE muite prf Ndalichako ,,binafsi aijui japo najua fika kuna masomo y sayansi ,sanaa ,hisabati na biashara ,,lkn biashara haijazungumziwa na waziri ,,mkanganyiko zaidi ni pale mfano m nmsoma economics & geo (biashara na Sanaa) ,nafikiri biashara hatuhitajk saiv cz hata shule zke ni chache xn xn huo ndo ukweli
 
So vyuo vya ualimu huu vifutwe
 
Mkuu umeandika nini hapo
 
Kama ni walimu wa biashara si waufundishe umma wa watanzania kwa vitendo kwa kuanzisha biashara kisha watoe ajira kwa wasio na ajira?
 
Juzi nimemsikia Waziri wa Elimu dr. Ndalichako akitoa maelekezo ajira kwa walimu kuwa wale wa sayansi watume maombi, wa art wapo nyomi waendelea tu kupiga maktaimu mjini,
Je hawa biashara yaani wa Commerce na Book keeping mmewamix hukohuko art ama?
Maana hamuwataji na hawajielewi kama nao watume maombi ama watafute mashamba mjini..!!!!!
Kuna pande mbili tu Sayansi na Sanaa hayo mambo mengine sijui commerce,book keeping,store keeping ni matokeo tu ya either science or art.Masomo hayo hata vitabu vya kiada kwa level ya secondary hayana.
 
wapo mkumbo mmoja na wa arts na ndo mana wanasema tunao walimu wa sanaa na biashara78999
 
Haviwezi kufutwa tu kwa sababu tu serikari haiajiri
Kuna kozi nyingi tu ambazo wahitimu wake hawaajiriwi na serikali na bado vyuo vinadahahili
Lakini havizaliashi graduates wengi kama wa elimu, labda tu huyo mkuu angesema vipunguze idadi ya wadahiliwa.
 
Juzi nimemsikia Waziri wa Elimu dr. Ndalichako akitoa maelekezo ajira kwa walimu kuwa wale wa sayansi watume maombi, wa art wapo nyomi waendelea tu kupiga maktaimu mjini,
Je hawa biashara yaani wa Commerce na Book keeping mmewamix hukohuko art ama?
Maana hamuwataji na hawajielewi kama nao watume maombi ama watafute mashamba mjini..!!!!!
Huu ni uchochezi. Kama we ni new ticha apply private school au ufanye business achana na mijadala kuhusu serikali na ajira
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom