Hivi Walikua Wanamaanisha nini Enzi Hizo?

miaka hiyo petrol ilikuwa bidhaa adimu.
jumapili mchana ni marufuku magari ya watu binafsi kutembea.
Muheshimiwa Nyerere alitoa tamko kwamba,ukiwa kwenya mteremko unatakiwa utoe gear ku save mafuta.(kama gari lako lina break,la sivyo..........)
 
Mfano kwa wananchi kuwa nao wanaweza kutumia PHOENIX bicycle.......Kama rais kaipanda sasa wewe utapata wapi nguvu ya kuikataa???? KUONGOZA KWA VITENDO ILIKUWA HIYO (Enzi za Mwalimu)
 
Na hii nayo alikuwa anamaanisha nini?
 

Attachments

  • JK in Jamaica.jpg
    29.6 KB · Views: 319
walikuwa wanafanya mazoezi si unaona walivyokuwa na afya njema, sio wa siku hz wana anguka anguka hovyo......
 
Kweli kuongoza kwa vitendo..... zama za phoenix zilishapita sasa ni kubembea tu!!

 
Huyu mpiga picha, Yaani ungekuja upepo kwa mbele kamera ingempeleka pabaya haki ya nani
 
mimi namwona huyo wa juu anafanana na mheshimiwa sana spika aliyepita bwana 6!
 
yaani magamba wanatakiwa watumie usafiri huu ujue nji hii iko maskini sana haya ma v8 mawili tu
yangesaidia mambo muhimu sana huko vijijini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…