THE BEEKEEPER
JF-Expert Member
- Feb 23, 2024
- 1,548
- 7,515
Utasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu.
Wapo uko mikoani?
Wapo uko mikoani?
😆 Mbona umepatia sana unafanya day wakaMbeya hiyo, mwanjelwa,Soweto kabwe, nanenane,stand kuu, n.k zimenonaaa karibu, karibu sana mteja wanguu zimenoonaa, karibu 3 shilingi miatano, karibu zimenonaaa 😁😁😁
Ahahaaa mfumo huu umezifikia wilaya zake,mwendo wa vitoroli sauti rekodiwa mpaka mtiririko wa maneno ni wenye mfanano,mikoa mitatu niliyotembelea Njombe,Iringa,na Dodoma sijakutana na hii kituUtasikia wale wateja bagia, wale wateja bagia zimenona tatu shilingi mitano karibu, karibu wateja wangu.
Wapo uko mikoani?


..First time naona nikajua ni mtu mmoja kumbe wapo wengi