Niambie Tu
JF-Expert Member
- May 29, 2022
- 280
- 726
Habari,
Nauliza hivi wale majamaa waliokuwa wanajiita Great thinker waliishia wapi?
Kipindi hiko kuchangia mada Jf unatumia akili kibao, majamaa yalikuwa na mbwembwe balaa.
Kila kitu jf enzi zetu haikuwa hivi.
Warudi basi.