Hivi wale walikuwa wanajiita Great thinker waliishia wapi?

Hivi wale walikuwa wanajiita Great thinker waliishia wapi?

Habari nauliza Hivi wale majamaa waliokuwa wanajiita Great thinker waliishia wapi!?

Kipindi hiko kuchangia mada Jf unatumia akili kibao,..

Majamaa Yalikuwa na mbwembwe balaa.

Kila kitu jf enzi zetu haikuwa hivi.

Warudi basi
Mbona wapo humu humu wao ndiyo wanatukana watu sasa hivi akili zao kama zilichukuliwa na shishiem vile
 
Mnaokoment mchujo kumbukeni tu hivi vitu vya mkondoni wamiliki wanatafutaga umaarufu ili viwalipe.

Ukichuja wakabakia wachache unakosa umaarufu.

Bhana eeeh, jichuje tu mwenyewe. Amua binafsi kutema madini kila comment unayochangia. Na kautani pia mahala pake.

JF inareflect tu collective intelligence ya memba wake
Kukuelewa inataka Akili ya ziada hapa.
 
Msengelema nini wewe..

Una kuwa na nyeg...... Mshindo

[mention]Active [/mention] [mention]Moderator [/mention] nimetukanwa na huyu mtu [mention]Niambie Tu [/mention] kanitusi sana naomba fanyeni kazi yenu siwezi vumilia hili jambo
 
[mention]Active [/mention] [mention]Moderator [/mention] nimetukanwa na huyu mtu [mention]Niambie Tu [/mention] kanitusi sana naomba fanyeni kazi yenu siwezi vumilia hili jambo
Tusi liko wapi wewe mzee msengelema ni Tusi kwani.
 
Kukuelewa inataka Akili ya ziada hapa.
Nnamaanisha, badala ya kutaka mfumo utuongoze..... sisi ndio tujiongoze mmojammoja unaamua.

Nitasema kweli daima Jf

Nitatema madini daima Jf

Sitatukanana daima Jf

Ntasapoti pointi tu Jf

It begins with one ☝. Maana sura ya mfumo mzima (Jf nzima) inajengwa na sura zooote za memba mmojammoja. Ndo ufafanuzi
 
Nnamaanisha, badala ya kutaka mfumo utuongoze..... sisi ndio tujiongoze mmojammoja unaamua.

Nitasema kweli daima Jf

Nitatema madini daima Jf

Sitatukanana daima Jf

Ntasapoti pointi tu Jf

It begins with one [emoji121]. Maana sura ya mfumo mzima (Jf nzima) inajengwa na sura zooote za memba mmojammoja. Ndo ufafanuzi
Mimi nina id kama 10 kila moja ina kazj yake siwezi kujibana
 
Jukwaa letu lipo huku tunapita pita tu tukiwa na akili kama zenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom