Hivi Wakenya waliwazidi nini Watanzania?

Wakenya wametuzidi yafuatayo
- wana elimu yenye viwango kuliko ya tz na nchi nyingine za EA, hivyo ufanisi wao ni mkubwa.
- wanaojua kiswahili (wasomi wa kiswahili na wanahabari) wanaongea kiswahili sahihi kisicho cha mtaani kama cha tz.
- ni wachapa kazi hivyo ni rahisi kuwakuta popote duniani
- wanajituma na wanauthubutu zaidi hivyo hata project za kutafsiri kiswahili kwenye 'gugo' wamefanya wao kwakuwa wanajiamini na wanaaminika uwezo wao.
-historia ya ubepari nchini mwao imewafanya waweze kuendana na kasi ya dunia tofauti na ujamaa wa tz. Si rahisi kumkuta mtz bahamas au malta ila wakenya wapo wanachapa kazi.
- ni waongeaji (uongeaji wenye mantiki sio porojo za simba na yanga/premier league) na wenye kujiamini
- ni wanazungumzaji kingireza kwa ufasaha hivyo ni rahisi kuwasilaina wa wageni
- wana uchumi mkubwa hivyo wanavutia wawekezaji wengi
- wana sera rafiki kibiashara
- wana talanta ya riadha ambayo imewatangaza sana duniani
- wako mbali kiutaliii
- wanajiji kubwa la kimataifa liliopangwa vizuri (nairobi).
 
Ngoja tuone watanzania watasemaj
 
Hata kupromote tu mlima tulionao tumeshindwa kifupi ni kwamba sisi ni kama mmiliki wa gari zuri asiye na ujuzi wa kuliendesha
Aaaaaah,inabd kujitambua sasa kucopy kutoka kwao ili mjitangaze nyny kama nynyi rasilimali zenu,
 
Wakenya wajanja sana,isitoshe wametutangulia kielimu. Hawana siasa za blabla kama sisi zaidi kuangalia fursa iko wapi?. Kenya toka zamani wanajitangazia kuingia mbuga ya serengeti njoo kenya,kuona mlima kilimanjaro njoo Kenya. Walishaanza kuitangaza mlima kilimanjaro na mbuga serengeti zamani sana,wakati sisi tunaendeleza blabla wenyewe wakawa wanapiga mkwanja saaaana kupitia mlima huo na mbuga. Mpaka sasa watalii wengi wanafika kenya kwanza wanaachia dolla ndio wanakuja kuona hivyo. Sasa wakati wanatangaza hivyo vivutio wakawa wanatupia na kiswahili,kwa hiyo wamejijenga zamani kabla yetu. Sisi tumestuka juzi tukiwa tumechelewa. Mpaka sasa wanavuna pesa nyingi saaaaana kupitia migongo yetu. Wananunua mazao kama alizet,mahindi,karanga kwa wingi sana kwetu kwa bei ya chini,then wanagonga nembo ya kenya hizo malighafi asili zinazotakiwa sana kinataifa. Wakipeleka kwenye soko kimataifa wanauza mara 3 ya bei waliyonunua kwako. Hapo wanajitangaza zaidi. Isitoshe wao ksbb wamesoma kuzidi sisi wako wengi huko ulaya. Kenya baada ya kugundua kiswahili kinapanuka kwa kasi na,kinatakiwa sana ulaya,(sisi tukiwa tunaendeleza bla bla za kisiasa) kenya wakafundisha walimu wengi kiswahili nchini mwao,ili wakapate ajira huko ulaya. Utashangaa hata kiswahili kinafundishwa ulaya na marekani na waalimu kutoka kenya. Itoshe tu kusema kenya wametuzidi ujanja. Na fursa nyingi sana tunazo sisi,lakini wanazifaidi wakenya. Sababu ya elimu tu
Tumieni mbinu mbala mkuu ili kujitangaza nyinui kama nyinyi mkuu maana,nchi kujulkana mkuu n pesa,,,,mnaweza kupata pesa nyingi sana ikiwa mnajtangaza na kutambulika ktu hchi source ni tanzania na sio kenya.

Bado mna fursa
 
Huyo mzungu anayekwambia alienda Kenya kuangalia mlima Kilimanjaro ni bonge la kilaza
Ndo hvyo mkuu yaani wanaamn hvyo,kuna siku mlimuhuliza mzungu mmoja ulienda kenya kufanya nini eti kuangalia mlima kilimanja..nikamwabia mlima kilimanjaro upo tanzania na si kenya,akajbu eti yeye na wanafunz wenzake walienda kenya na kuchukua hoteli kenya,,.ndo walianza safar ya utalii na kwnda kilimajaro...yeye anachokijua kenya tu.
Anapenda sana kusalimia hivi
Habari yako
Jambo yako

Nikasema kwel huyu anaitambua kenya sio tanzania
 
Wakati wa former EAC viwanda vyoote viliwekezwa Kenya. Baada ya kuvunjika vikabaki Kenya. Ni kama Britain ilivyo zidiwa na USA wakati lilikuwa colony lake. Viwanda vingi viliwekezwa USA na ilivyo pata Uhuru Britain wali loose economically.
Inawezakuwa sababu ila bdo mnayo fursa ya kujitangaza mkuu
 
America english n kizur mno mkuu,wqngereza wenyw wanataka kuyajua maneno ya marekani
Mh mkuu American English si kama cha kihuni vile au cha mtaani? naona Kiingereza kizuri na chenye maneno mazuri ni kile cha kwao wao wenyewe waingereza ila cha hawa wamarekani naona kama mh! Utasikia " Twirah yaan Twita" "Nikira yaani Nikita" ahahahahahaaa!
 
ungejua wakenya ndo wanaoongea kiswahili fasaha kuliko watanzania hata usingeshangaa.wabongo sisi tunaongea kiswahili broken na tena kile cha mtaani na cha kihuni.
Acha uongo wewe wadanganye wasio jua
 
Tatizo unafiki wetu, truth is the keyword. Taifa limejengeka na unafiki guu la kushoto muungano.
 
Tatizo ni makosa mnayotumia kila siku waTz ktk hiyo lugha
Wenzenu wakenya lugha wanaitumia kwa ufasaha ndomana inaonekana ni lugha yao.
Jisahihisheni kwanza ndio mje kulalamika huku tofauti na hapo acha wapate credits kwasababu wana deserve
Tangu lini wakenya wanaitumia lugha kwa ufasaha? Angalau watu wa mombasa wanajua kiswahili.Wakenya hukosea matumizi ya maneno kama'Yuko husema ako, nije- nikuje, ngoja-ngonjanga nk nk, hawajui kiswahili kasoro mombasa tu.
 
N
Wakenya wajanja sana,isitoshe wametutangulia kielimu. Hawana siasa za blabla kama sisi zaidi kuangalia fursa iko wapi?. Kenya toka zamani wanajitangazia kuingia mbuga ya serengeti njoo kenya,kuona mlima kilimanjaro njoo Kenya. Walishaanza kuitangaza mlima kilimanjaro na mbuga serengeti zamani sana,wakati sisi tunaendeleza blabla wenyewe wakawa wanapiga mkwanja saaaana kupitia mlima huo na mbuga. Mpaka sasa watalii wengi wanafika kenya kwanza wanaachia dolla ndio wanakuja kuona hivyo. Sasa wakati wanatangaza hivyo vivutio wakawa wanatupia na kiswahili,kwa hiyo wamejijenga zamani kabla yetu. Sisi tumestuka juzi tukiwa tumechelewa. Mpaka sasa wanavuna pesa nyingi saaaaana kupitia migongo yetu. Wananunua mazao kama alizet,mahindi,karanga kwa wingi sana kwetu kwa bei ya chini,then wanagonga nembo ya kenya hizo malighafi asili zinazotakiwa sana kinataifa. Wakipeleka kwenye soko kimataifa wanauza mara 3 ya bei waliyonunua kwako. Hapo wanajitangaza zaidi. Isitoshe wao ksbb wamesoma kuzidi sisi wako wengi huko ulaya. Kenya baada ya kugundua kiswahili kinapanuka kwa kasi na,kinatakiwa sana ulaya,(sisi tukiwa tunaendeleza bla bla za kisiasa) kenya wakafundisha walimu wengi kiswahili nchini mwao,ili wakapate ajira huko ulaya. Utashangaa hata kiswahili kinafundishwa ulaya na marekani na waalimu kutoka kenya. Itoshe tu kusema kenya wametuzidi ujanja. Na fursa nyingi sana tunazo sisi,lakini wanazifaidi wakenya. Sababu ya elimu tu
Naomba takwimu ya idadi ya wakenya waliosoma kulinganisha na sisi watanzania, kuanzia msingi mpaka phd usilete maneno ya vijiweni tupe data.
 
ungejua wakenya ndo wanaoongea kiswahili fasaha kuliko watanzania hata usingeshangaa.wabongo sisi tunaongea kiswahili broken na tena kile cha mtaani na cha kihuni.
Vyenye umeongea kama unatoka bongo.

Niambie kuna ufasaha gani hapo?
 
Kuna takwimu sisizokuwa rasm mkuu znapimka kwa macho
N
Naomba takwimu ya idadi ya wakenya waliosoma kulinganisha na sisi watanzania, kuanzia msingi mpaka phd usilete maneno ya vijiweni tupe data.
 
Tangu lini wakenya wanaitumia lugha kwa ufasaha? Angalau watu wa mombasa wanajua kiswahili.Wakenya hukosea matumizi ya maneno kama'Yuko husema ako, nije- nikuje, ngoja-ngonjanga nk nk, hawajui kiswahili kasoro mombasa tu.
Ila kumbuka wnyw nao wanajiona wako sahihi kulko nyny,hata ukuenda nchi zngn wanasema swahili ni lugha toka kenya
 
Back
Top Bottom