Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,369
- 1,641
Mimi huwa napatwa na maswali mengi sana nahisi hata wewe mtanzania ushawahi kujiuliza kitu kama hiki
Ukienda Uingereza, Marekani au mataifa mengine ya wenzetu yalioendelea mara nyingi ukizungumza kiswahili utaulizwa kama wewe ni Mkenya au kuitwa Mkenya badala ya mtanzania.
Watanzania wanajinadi sana kuwa Kiswahili ni lugha yao, ajabu lugha hii imesamba kama Kiswahili ni lugha toka Kenya au wanaokizungumza ni Wakenya.
Pia watu hao hao ukiwauliza ulienda Kenya kufanya nini au umekijuaje Kiswahili au umejuaje mimi ni Mkenya atakuambia nilienda kufanya kazi Kenya au najua kiswahili ni lugha inayozungumzwa na Wakenya!
Hili jibu ndo huwa linanishangaza "Nilienda Kenya kuangalia mlima Kilimanjaro" licha ya mlima huo kuwa Tanzania na sio Kenya
Unabaki unajiuliza, Wakenya waliwazidi nini Watanzania?