Hivi wakatoliki ndio Think Tank ya wakristo wote Tz

Status
Not open for further replies.
Hapa ningependa kujuwa kama Wakatoliki hapa Tanzania ndio Think Tank ya madhehebu yote ya wakristo hapa Tanzania.

Kilichonifanya nijiulize suala hili ni hili la Waraka wa wakatoliki. Kwa kweli vibaraka wote Kanisa hili mara baada ya kuutoa walimuuliza waziri mkuu, na kuupenyeza Bungeni ujadiliwe, walimuuliza shehe mkuu wa Bakwata na watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini.

Tumeona kila aliyediriki kuupinga alitukanwa na kukashifiwa sana mf Mzee Kingunge, Kakobe na wengine.

Lakini waandishi hao hao sijaona hata sehemu moja wakimuhoji Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa au Askofu mkuu wa Anglicana Dr Mokiwa.

Kwani tunajuwa wazi kuwa KKKT ni wengi sana kulinganisha na wakatoliki hapa Tanzania. Na ukisoma wengi wananasibisha kuwa waraka huo ni wa wakristo na sio wakatoliki.

Suala langu kuwa je wakatoliki ndio think tank ya wakristo wote hapa Tanzania?

Kwa kweli tumewachoka kabisa wewe HM Hafif na mwenzako burabura kuja humu ndani na mada na kauli chungu mzima za uwongo, zenye uchochezi na potofu kila mara, halafu mkitakiwa mfafanue utumbo wenu, MNATOKOMEA MITINI!! EITHER YOU DEFEND YOUR STATEMENTS BY SUBSTANTIATING AND CLARIFYING ON THEM AS REQUESTED OR MSITULETEE MADUDU YA KIPUUZI KAMA HAMUWEZI KUUTETEA HOJA NA KAULI ZENU!!!!

Nadhani nyie wawili ingebidi MFUNGIWE PERMANENTLY kwa kuteremsha hadhi ya JF! Nyambaaf kabisa!!
 
..mngetumia GOOGLE kusingekuwa na ulazima wa kuanzisha thread hii, au malumbano haya yangekuwa mafupi sana.
 
Tatizo lako HM Hafif unadhani na wakristu ni wehu kama waislamu, kila unapotoa thread lazima iwe ni ya udini. Sasa nakwambia kama unalipwa ili ulete thread za udini JF umekwama, wanaJF waliowengi ni wasomi na wanaelewa mbichi na mbivu.

Ulitegemea kwamba na ktk wakristu labda utasikia wamelipuana lakini hilo halipo, elimu baba. Waambie wenzako waliokupa vijisenti ili uchafue JF kwa udini kwamba kazi waliyo kutuma ni ngumu na hutaiweza.

"....utasikia mara bakwata......mara shura ya maimamu.......mara mpene....eh!!!....mtafika????.................JK upo????

Poleni sana na extremisim yenu,......lakini msiwafundishe watanzania kuvaa milipuko.
 
Kwa kweli tumewachoka kabisa wewe HM Hafif na mwenzako burabura kuja humu ndani na mada na kauli chungu mzima za uwongo, zenye uchochezi na potofu kila mara, halafu mkitakiwa mfafanue utumbo wenu, MNATOKOMEA MITINI!! EITHER YOU DEFEND YOUR STATEMENTS BY SUBSTANTIATING AND CLARIFYING ON THEM AS REQUESTED OR MSITULETEE MADUDU YA KIPUUZI KAMA HAMUWEZI KUUTETEA HOJA NA KAULI ZENU!!!!

Nadhani nyie wawili ingebidi MFUNGIWE PERMANENTLY kwa kuteremsha hadhi ya JF! Nyambaaf kabisa!!
.

naomba utoe mfano nilipoingia mitini na sio kuleta maneno ya mtaani. lazima uwe makini kwa jambo unalosema.

Napenda kukuuliza je umeelewa nini HM Hafif ameuliza? sasa mpe jibu na sio kulalama.
 
Hapa ningependa kujuwa kama Wakatoliki hapa Tanzania ndio Think Tank ya madhehebu yote ya wakristo hapa Tanzania.

Kilichonifanya nijiulize suala hili ni hili la Waraka wa wakatoliki. Kwa kweli vibaraka wote Kanisa hili mara baada ya kuutoa walimuuliza waziri mkuu, na kuupenyeza Bungeni ujadiliwe, walimuuliza shehe mkuu wa Bakwata na watu mbalimbali ikiwemo hapa jamvini.

Tumeona kila aliyediriki kuupinga alitukanwa na kukashifiwa sana mf Mzee Kingunge, Kakobe na wengine.

Lakini waandishi hao hao sijaona hata sehemu moja wakimuhoji Askofu mkuu wa KKKT askofu Malasusa au Askofu mkuu wa Anglicana Dr Mokiwa.

Kwani tunajuwa wazi kuwa KKKT ni wengi sana kulinganisha na wakatoliki hapa Tanzania. Na ukisoma wengi wananasibisha kuwa waraka huo ni wa wakristo na sio wakatoliki.

Suala langu kuwa je wakatoliki ndio think tank ya wakristo wote hapa Tanzania?

Ahali yangu Hafif. naomba unikosoe kama nitakuwa sijakuelewa.

Mimi nimeelewa kwa jinsi nilivyokusoma kuwa Wewe shida yako kubwa ni Kwa nini waandishi hawakumuhoji Mkuu wa kanisa Anglicana na mkuu wa kanisa la Kilutheri na kupata maoni yao.

Kijumla hapa waandishi imewapuruchuka sana kwani wamewanyima haki wananchi kujua mawazo yao. kwani kazi za mwandishi ni kuijuza jamii na wala sio kuiamulia jamii nini ifate.

Hapo wameteleza.

Na vile vile nimeelewa umeuliza kuwa Hao Catholics ni think Tank ya wakristu. Hiyo si kweli kwani hiyo ni matatizo ya waandishi kubana habari. naomba ujue waandishi wa huko tanzania wapo kibiashara zaidi na ushabiki na sio kuipasha jamii.

kama sijakuelewa vizuri nakuruhusu uni correct.

maa salaam
 
umekosea. Ni kwa niaba ya watz wote
 
Tatizo lako HM Hafif unadhani na wakristu ni wehu kama waislamu, kila unapotoa thread lazima iwe ni ya udini. Sasa nakwambia kama unalipwa ili ulete thread za udini JF umekwama, wanaJF waliowengi ni wasomi na wanaelewa mbichi na mbivu.

Ulitegemea kwamba na ktk wakristu labda utasikia wamelipuana lakini hilo halipo, elimu baba. Waambie wenzako waliokupa vijisenti ili uchafue JF kwa udini kwamba kazi waliyo kutuma ni ngumu na hutaiweza.

"....utasikia mara bakwata......mara shura ya maimamu.......mara mpene....eh!!!....mtafika????.................JK upo????

Poleni sana na extremisim yenu,......lakini msiwafundishe watanzania kuvaa milipuko.

Kutukana waislam wote duniani na huu nao ni umwehu, kama wakiristo niwasomi kama unvyodai msingetumia lugha za kijinga kama hizi, jifundishe ustaarabu, uwena heshima unapoongea na watu.

Bakwata na Shura ni organisation chache sana za kiislam ukilinganisha na organisation za kikiristol, kuna mdhehebu over 100 za kikiristo, nanyigine za ******* zimenza 2005. Nakama waislam wanajilipua nikwasababu ya uonevu unaofanyika ktk maeneo yao na uliopo duniani, kama wewe ujauona uenevu huo# You are dead man walking#

Kharbbaytaka!!!!
 
Nchi yetu sasa imekuwa ni nchi inayofuata Siasa ya Dini iwe ya Kikristo au kiislam wakati wa Uhai wake Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere alisema kuwa Siasa ya Tanzania na Seriakali haina Dini leo wameebuka Viongozi wa Dini kuwakemea Viongozi wa Siasa? jamani tunakwenda wapi na tunatoka wapi? hivyo tunaingiza mambo ya Dini na siasa? jamani kusije kukatokea Vita kama kunavyotekea katika nchi za nje zinazochanyanga Dini na siasa ? Nchi ambazo wanazo ingiza Dini na siasa Dini ni Dini na Siasa ni Siasa Viongozi wa dini wakae Misikitini au Makanisani Wafundishe watu mambo ya Dini sio kujishughulisha na mambo ya Siasa iko siku hapo kwetu kutatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe kutokana na Dini kuingiza na Siasa Asanteni.
 
Ahali yangu Hafif. naomba unikosoe kama nitakuwa sijakuelewa.

Mimi nimeelewa kwa jinsi nilivyokusoma kuwa Wewe shida yako kubwa ni Kwa nini waandishi hawakumuhoji Mkuu wa kanisa Anglicana na mkuu wa kanisa la Kilutheri na kupata maoni yao.

Kijumla hapa waandishi imewapuruchuka sana kwani wamewanyima haki wananchi kujua mawazo yao. kwani kazi za mwandishi ni kuijuza jamii na wala sio kuiamulia jamii nini ifate.

Hapo wameteleza.

Na vile vile nimeelewa umeuliza kuwa Hao Catholics ni think Tank ya wakristu. Hiyo si kweli kwani hiyo ni matatizo ya waandishi kubana habari. naomba ujue waandishi wa huko tanzania wapo kibiashara zaidi na ushabiki na sio kuipasha jamii.

kama sijakuelewa vizuri nakuruhusu uni correct.

maa salaam

Ndivyo kabisa nilivyokusudia. naomba unijuze zaidi.
 
Nchi yetu sasa imekuwa ni nchi inayofuata Siasa ya Dini iwe ya Kikristo au kiislam wakati wa Uhai wake Baba wa Taifa hili Mwalimu Nyerere alisema kuwa Siasa ya Tanzania na Seriakali haina Dini leo wameebuka Viongozi wa Dini kuwakemea Viongozi wa Siasa? jamani tunakwenda wapi na tunatoka wapi? hivyo tunaingiza mambo ya Dini na siasa? jamani kusije kukatokea Vita kama kunavyotekea katika nchi za nje zinazochanyanga Dini na siasa ? Nchi ambazo wanazo ingiza Dini na siasa Dini ni Dini na Siasa ni Siasa Viongozi wa dini wakae Misikitini au Makanisani Wafundishe watu mambo ya Dini sio kujishughulisha na mambo ya Siasa iko siku hapo kwetu kutatokea vita vya wenyewe kwa wenyewe kutokana na Dini kuingiza na Siasa Asanteni.

Hakika yote yanayotokea chanzo ni mbegu alizopanda Nyerere wakati wa uongozi wake. Unajuwa yeye alikuwa haambiliki na kwa kutumia rungu hilo alieneza UKATOLIKI nchini na sasa ndio mambo hayo.

Wakatoliki wana midimo mikubwa kuikemea Serikali .
 
Jamani nimejaribu kutafuta namna ya kukusaidia nashindwa nakubali kuwa unatatizo lkn haujaweka wazi kabisa shida yako!

Ushauri wa breee!
Unajua wewe ni kama kipofu yaani hauoni,
Jaribu kusoma sana vitabu maana haya mambo wazungu wameyaficha kwenye vitabu,

Weka kwenye Akili yako hii kitu, kama wakatoliki wangepewa hii nchi isingekuwa hapa, mfano kielimu, kiafya na kadhalika

Kingine nina kaswa:
Hivi unajisikiaje kuleta hoja mfu kama hii wakati majibu unayo?
Wakatoliki wamejenga shule ngapi?
Kwanini wajenge shule? Kwanini hawajengi viwanja vya mpira?

Tuwe tunajipa nafasi ya kufikiri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom