Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
Si kweli... Ni mawazo ya walio wengi... Na hii imetokana na uzuri wao,, wengi wamekua wakichukuliwa na kupelekwa mijini kuwa wafanyakazi wa ndani na barmaid's, ugumu wa maisha na familia walizotoka hujikuta wameingia katika mtego huo.. na mwiraq hafichiki utamgundua tuu kimwonekano.. lakini kiuhalisia sio tabia ya watu wa kule...
Danganya wasiojua..mimi nafanya kazi hapa Karatu ni mwaka wa pili sasa,ni wazuri ni kweli ila tabia za kimalaya inawezekana hata shetani hua anawashangaa maana hajawahi kuwafundisha

Kiufupi. HAWAFAI KITABIA DHIDI YA NGONO
 
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.

Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.

"Kula tu shemeji, Ila usilimalize mume wangu alikute hili likidonda"
 
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.

Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.

Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.
Hapana usioe kama ww ni kabila tofauti na lake maana hao huwa n free mandela hawajui kukataa wakiombwa chini..
 
Ok, shukran sana mkuu, nimeanza kuunganisha dot
Mimi nilikuwa sitaki kusex nae mapema lakini yeye last week Ali force kusex tena getoni kwake, najiuliza tu yawezekana tupo wengi, mhhh
Nahisi nimeisoma vibaya hii comment.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom