moj6
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 3,354
- 5,006
Nataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.