Tulikua na chama Cha wachumi Tanzania kipindi kile watu walikua wazalendo. Lakini tangu fani ilipovamiwa na wachumia tumbo a.k.a wazee wa tozo ambao hawaangalii impact ya tozo kwenye uchumi ilimradi tu wanaendesha Landcruiser 300 2022 Model wengi wetu tumeamua kujitoa kulinda heshima zetu.