Hivi Wachumi nchi hii wapo?

Tella Mande

JF-Expert Member
Jun 2, 2018
494
674
Tunavyo vyama vya kitaalam mpaka kwenye taaluma ambazo ki ukweli hazina impact kiville, lakini wapo.

Kuna chama cha wahasibu
Chama cha wanasheria
Chama cha waalimu
Chama cha madaktari
Chama cha wauguzi

Ila kinachonishangaza ni kuwa taaluma muhimu kama WACHUMI sijasikia kama wana umoja wao na jukwaa lao la kutoa sauti na kuishauri serikali.

Kinachotokea sasa ni kila mtu anajadili uchumi na wengine wanatoa na maelekezo, kweli?

Wachumi mko wapi?

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
 
Chama gani ambacho unaona watu wake hawana umuhimu hapo?
Vyote havina umuhimu wowote, ni wezi tu.

Vilifanya nini miaka yote ile ambayo wanachama wao hwakupandishwa madaraja wala mishahara

Si walikaa kimya tu huku wakila makato

Vyama vyote ni vya hovyo tu, wezi
 
Tulikua na chama Cha wachumi Tanzania kipindi kile watu walikua wazalendo. Lakini tangu fani ilipovamiwa na wachumia tumbo a.k.a wazee wa tozo ambao hawaangalii impact ya tozo kwenye uchumi ilimradi tu wanaendesha Landcruiser 300 2022 Model wengi wetu tumeamua kujitoa kulinda heshima zetu.
 
Back
Top Bottom