Hivi wachina waliumbwa na nani jamani?

Hivi wachina waliumbwa na nani jamani?

China haina eee? Baasi haaya!!
Na hao wajapani wana dini kama zetu?
Inshort mungu katupa akili regardless we ni wa namna gani.sasa apo displine yako ndo itakufungulia akili yako
 
Hv kwa nini duniani watu weusi ni wachache kuzidi weupe halafu hao weusi ndo wanadharaulika sana.
Huyu mungu ni mbaguzi sana kwa nini asingefanya walio wachache-watu weusi ndio wawe juu zaidi ya weupe
Mungu hadhiakiwi mkuu
 
Hawana dini kama zetu, lakini kitecnolojia wapo juu, vibaya sana
Sisi inakuwaje? Tumekosea nini? Au wao ndo wako sahihi?
Jamaa nawakubali sana! Ufahamu wao uko juu sana. Japan,israel na marekani wanavumbua mchina anasoma na ana modify na kufanya yake. Hongereni wachina. Ulishawahi sikia rais wa china analalamika kuwa angejua asingekubali kuwa rais! Kule fisadi ni kunyongwa hadharani kwetu anapewa uenyekuti fyuuuuuh!
 
Hv kwa nini duniani watu weusi ni wachache kuzidi weupe halafu hao weusi ndo wanadharaulika sana.
Huyu mungu ni mbaguzi sana kwa nini asingefanya walio wachache-watu weusi ndio wawe juu zaidi ya weupe

Mkuu ndio maana hua sitakaa niamini kitu kinachoitwa dini...yaani ni concept mufilisi kabisa...

Huyo "mungu" kwakweli mtanisamehe kabisa,nikimuona kama nina uwezo wa kumchamba atanikoma kabisa,seriously...[emoji51][emoji51]
 
Elimu
Elimu
Elimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!
Uwiiii teknologia haijagi kama zali ama viwanda vya kisasa havijagi kwa kukaa na kudesa hapa lazima uandae wanao(vijana wetu/kizazi hili) wapate Elimu yenye tija. Watafiti tuu mwenyewe wanauwawa kisa tuu bongo za wananchi zimekosa elimu ya uelewa huku wakifikiria ni wanyonya damu, alafu kweli viwanda vije kwa akili hizo kweli? Watu hawana maandalizi.
 
Wewe umefanyia nini had I kuhoji hivyo",..
orodhesha ulivyovifanya ndio uje na mlalamo Huu",..!! Yote yanahitaji maarifa tyu.Wenzetu wamewekeza kwenye vipaji nyuma yake kuna Elimu,ndio siri kubwa

Mwenyezi Mungu aliyekuumba wewe pasipo wewe kupenda,hawezi kukubadilisha pasipo wewe kupenda.

Kumbuka kheri kuamini Mungu yupo uende ukamkose kuliko kuamini hayupo uende na mkute..
 
hawa asili yao ni Mongolia, ndo wakagawanyika, wachina, wakorea, vietnam,wajapan, wote wenye sura kama wanalia asili yao ni mongolia na ndio maana macho yao yana ugonjwa flani unaitwa mongolism
Uko juu mkuu big up
 
Kuna kanuni za kufuata ili ufanikiwe, haijalishi una dini au huna. Kama ilivyo dunia kulizunguka jua Mungu kawawekea binadamu wote sawasawa. Ukizijua na kuzifuata utakuwa tajiri. Elimu bila kufuata hizo kanuni ni bure, hali kadhalika kwa asiye na elimu.
ungezitaja sasa izo kanuni. tujue yaliyomo yamo??
 
Jamaa nawakubali sana! Ufahamu wao uko juu sana. Japan,israel na marekani wanavumbua mchina anasoma na ana modify na kufanya yake. Hongereni wachina. Ulishawahi sikia rais wa china analalamika kuwa angejua asingekubali kuwa rais! Kule fisadi ni kunyongwa hadharani kwetu anapewa uenyekuti fyuuuuuh!
Najuta kuwa Rais [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Hv kwa nini duniani watu weusi ni wachache kuzidi weupe halafu hao weusi ndo wanadharaulika sana.
Huyu mungu ni mbaguzi sana kwa nini asingefanya walio wachache-watu weusi ndio wawe juu zaidi ya weupe
Nazani wanawah kufa pia
 
Jamaa nawakubali sana! Ufahamu wao uko juu sana. Japan,israel na marekani wanavumbua mchina anasoma na ana modify na kufanya yake. Hongereni wachina. Ulishawahi sikia rais wa china analalamika kuwa angejua asingekubali kuwa rais! Kule fisadi ni kunyongwa hadharani kwetu anapewa uenyekuti fyuuuuuh!
israel amevumbua nini kwani?
 
Back
Top Bottom