Hakuna mungu huyo.Hv kwa nini duniani watu weusi ni wachache kuzidi weupe halafu hao weusi ndo wanadharaulika sana.
Huyu mungu ni mbaguzi sana kwa nini asingefanya walio wachache-watu weusi ndio wawe juu zaidi ya weupe
Hawana dini kama zetu, lakini kitecnolojia wapo juu, vibaya sana
Sisi inakuwaje? Tumekosea nini? Au wao ndo wako sahihi?
Wajapan nawakubali sanaaa!Nchi yenye technologia ya juu ni japan israel na usa
Mungu hakufanya kosa lolote.Africa nzima please. Kosa kubwa alilolifanya Mungu ni kumuumba mwafrika
Hapa umezingua mkuu...!hawa asili yao ni Mongolia, ndo wakagawanyika, wachina, wakorea, vietnam,wajapan, wote wenye sura kama wanalia asili yao ni mongolia na ndio maana macho yao yana ugonjwa flani unaitwa mongolism
ok wape g0ti.Wajapan nawakubali sanaaa!
Hawana dini kama zetu, lakini kitecnolojia wapo juu, vibaya sana
Sisi inakuwaje? Tumekosea nini? Au wao ndo wako sahihi?[/QU
Mkuu sie tuna mlolongo mbovu Wa siasa na viongozi wabovu...na pia hakuna jopo la kuongoza nchi...kila kiongozi na lake...Leo viwanda kesho kilimo mwisho Wa Sikh mnajikuta mnacheza kanyamnyela palepale....!!! makundi ya kisiasa, ukabila Wa chini chini, matabaka ya kimaendeleo, udini na unafiki Wa watenda kazi, ufisadi na rushwa kwa kiwango cha Mbolea , ukosefu Wa elimu stahiki pia ni tatizo kubwa...!!! wale jamaa fatilia historia yao ilifikia hatua wakaweka kila tofauti chini zen wakakaza mkanda na kumove on

Kuna uhusiano gani kati ya dini na teknolojiaHawana dini kama zetu, lakini kitecnolojia wapo juu, vibaya sana