Hivi wachina waliumbwa na nani jamani?

Hivi wachina waliumbwa na nani jamani?

Hawana dini kama zetu, lakini kitecnolojia wapo juu, vibaya sana
Sisi inakuwaje? Tumekosea nini? Au wao ndo wako sahihi?

Mkuu kwanza nikupongeze kwa mada/ swali/ maswali yako mazuri

kuna mitazamo mingi juu ya dini ni nini.
ivyo unaweza kusema hawana dini ukawa bado uko sahihi kwa mtazamo (perspective) fulani.
pia kwa mtazamo mwingine unaweza kuambiwa dini wanayo.

kwa mfano kuna wanaosema dini ni mfumo mzima wa maisha ya binadamu. kwa mtazamo huu chochote utakacho kuwa unakiamini kitakuwa kwenye mfumo wa dini fulani. mfano unaabudu mawe, miti mikubwa, jua, watu walofariki zamani, uislamu na ukristu.

kuna wanaosema dini ni imani juu ya mungu muumba...... (chanzo: kamusi ya kiswahili)

Tatizo linakuja kwenye ipi dini ya kweli. kila mtu anachokiamini na kwa kuwa kinamsaidia basi icho ndicho anakiona/anaiona ndio dini sahihi.

ivyo wachina ata kama tukiona hawana dini kwa mtazamo mmoja, basi wanayo kwa mtazamo mwingine wa dini ni mfumo tu wa maisha ya binadamu.
 
Hawana dini kama zetu, lakini kitecnolojia wapo juu, vibaya sana Sisi inakuwaje? Tumekosea nini? Au wao ndo wako sahihi?

Sasa kama watu mnashinda makanisani mkiaminishwa eti ombeni mtapewa wakati wenzenu wanafanya kazi unategemea nini. Anayekwambie ombeni mtapewa mwenyewe anatafuta hela kupitia kwako na wewe hujitambui eti unalia siku nzima mchana kutwa unasubiri kupewa
 
Hakuna watu wenye teknolojia ulimwenguni kama waisrael na wajapan.
 
Hawana dini kama zetu, lakini kitecnolojia wapo juu, vibaya sana
Sisi inakuwaje? Tumekosea nini? Au wao ndo wako sahihi?
Kwani kuwa na Dini kuna uhusiano gani wa kuwa na teknolojia?
 
Hua nachekea rohoni nikisikia mtu mweusi anajilinganisha na mchina! Miaka 3000 iliopita mchina alikua tayari anauwezo wa kujenga mahekalu, refer (the Great Wall) ukulima wa kisasa na ufugaji(aquaponic system) zaidi ya miaka 1000.hatuwezi kamwe kuwafikia!
 
Kumbukeni wachina wanadini sikunyiingi kuliko sisi, je Nani aliwahi kufuatilia madrasa zao zinawafundisha nini?
 
Kumbe ulikuwa hufahamu kuna mungu watatu biblia ukiisoma kwa makini unaielewa kuna mungu wa Israel kuna mungu wa Isack na wa Yakob mungu wa Israel ni wa mashariki ya kati mungu wa Isack ni wa Eu na Us mungu wa Yakob ni wa Africa [emoji288].
 
Back
Top Bottom