Hivi wachina waliumbwa na nani jamani?

Hivi wachina waliumbwa na nani jamani?

Watakuwa wameumbwa na mungu mubaguzi anayependelea wazungu tu.
Inawezekana maana unakuta nchi inalia , vijana Ajira hakuna, wamebaki kusugua magoti wakiomba Ajira Ajira Ajira
N.k
 
Kuna kanuni za kufuata ili ufanikiwe, haijalishi una dini au huna. Kama ilivyo dunia kulizunguka jua Mungu kawawekea binadamu wote sawasawa. Ukizijua na kuzifuata utakuwa tajiri. Elimu bila kufuata hizo kanuni ni bure, hali kadhalika kwa asiye na elimu.
 
hawa asili yao ni Mongolia, ndo wakagawanyika, wachina, wakorea, vietnam,wajapan, wote wenye sura kama wanalia asili yao ni mongolia na ndio maana macho yao yana ugonjwa flani unaitwa mongolism
 
Hv kwa nini duniani watu weusi ni wachache kuzidi weupe halafu hao weusi ndo wanadharaulika sana.
Huyu mungu ni mbaguzi sana kwa nini asingefanya walio wachache-watu weusi ndio wawe juu zaidi ya weupe
Subiri waumini wake waje
 
Msiogope watanzania wenzangu hatuna tatizo lolote kwenye bongo zetu. Miaka michache tu baadaye tutashuhudia maendeleo makubwa hapa Tanzania na Africa kwa ujumla. Hii itasababisha wakimbizi wengi kutoka Europe na America. Jambo la msingi sasahivi tuendelee kuandaa mazingira mazuri ya wakimbizi ili wakija wasiteseke kama sisi tunavyoteseka tukizamia kwao majuu (in Mahigha's voice)
 
hawa asili yao ni Mongolia, ndo wakagawanyika, wachina, wakorea, vietnam,wajapan, wote wenye sura kama wanalia asili yao ni mongolia na ndio maana macho yao yana ugonjwa flani unaitwa mongolism
Na mungu wao anaitwaje mkuu?
 
Back
Top Bottom