Bila shaka zipo.Wajuzi ni habarisheni endapo zipo nchi na taasisi nje ya Tanzania zinazo support kifedha na ulimu ujenzi demicrasia. Sheria zetu ndani zinaruhusu?
Bora tugawane tu mbao aisee, potelea pweteHahahahaaaaa
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, mbumbumbu ndio wako incharge.
CCM wanapokea misaada kibao toka china, na bashiru anafanya mpaka ziara huko china, lakini ACT wakipiga soga na balozi wa UK, msajili anawashwawashwa, safari hii tutawakuna wote msajili na tume ya uchaguzi, huu ni mwaka wa kugawana mbao.
Msajili yupo pale kimkakati, na hii ni agenda ya awamu hii kwa kila mwenye mamlaka ahakikishe upinzani unafariki.Hahahahaaaaa
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, mbumbumbu ndio wako incharge.
CCM wanapokea misaada kibao toka china, na bashiru anafanya mpaka ziara huko china, lakini ACT wakipiga soga na balozi wa UK, msajili anawashwawashwa, safari hii tutawakuna wote msajili na tume ya uchaguzi, huu ni mwaka wa kugawana mbao.
Ccm inapokea fedha kutoka chida kudidimiza democrasia nchini.Hahahahaaaaa
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, mbumbumbu ndio wako incharge.
CCM wanapokea misaada kibao toka china, na bashiru anafanya mpaka ziara huko china, lakini ACT wakipiga soga na balozi wa UK, msajili anawashwawashwa, safari hii tutawakuna wote msajili na tume ya uchaguzi, huu ni mwaka wa kugawana mbao.
Vp na wewe unataka ufungue SACCOS ukopeshe?Wajuzi ni habarisheni endapo zipo nchi na taasisi nje ya Tanzania zinazo support kifedha na elimu ujenzi democrasia. Sheria zetu ndani zinaruhusu?