Hivi vyama vya upinzani vinapokea support ya kifedha na elimu toka jumuia za kimataifa?

VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
5,610
13,160
Wajuzi ni habarisheni endapo zipo nchi na taasisi nje ya Tanzania zinazo support kifedha na elimu ujenzi democrasia. Sheria zetu ndani zinaruhusu?
 
Tanzania zinazo support kifedha na ulimu ujenzi demicrasia
Wajuzi ni habarisheni endapo zipo nchi na taasisi nje ya Tanzania zinazo support kifedha na ulimu ujenzi demicrasia. Sheria zetu ndani zinaruhusu?
Bila shaka zipo.
 
Hahahahaaaaa
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, mbumbumbu ndio wako incharge.

CCM wanapokea misaada kibao toka china, na bashiru anafanya mpaka ziara huko china, lakini ACT wakipiga soga na balozi wa UK, msajili anawashwawashwa, safari hii tutawakuna wote msajili na tume ya uchaguzi, huu ni mwaka wa kugawana mbao.
 
Bora tugawane tu mbao aisee, potelea pwete
 
Hahahahaaaaa
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, mbumbumbu ndio wako incharge.

CCM wanapokea misaada kibao toka china, na bashiru anafanya mpaka ziara huko china, lakini ACT wakipiga soga na balozi wa UK, msajili anawashwawashwa, safari hii tutawakuna wote msajili na tume ya uchaguzi, huu ni mwaka wa kugawana mbao.
Msajili yupo pale kimkakati, na hii ni agenda ya awamu hii kwa kila mwenye mamlaka ahakikishe upinzani unafariki.
 
Hahahahaaaaa
Tanzania ni nchi ya ajabu sana, mbumbumbu ndio wako incharge.

CCM wanapokea misaada kibao toka china, na bashiru anafanya mpaka ziara huko china, lakini ACT wakipiga soga na balozi wa UK, msajili anawashwawashwa, safari hii tutawakuna wote msajili na tume ya uchaguzi, huu ni mwaka wa kugawana mbao.
Ccm inapokea fedha kutoka chida kudidimiza democrasia nchini.
 
Wajuzi ni habarisheni endapo zipo nchi na taasisi nje ya Tanzania zinazo support kifedha na elimu ujenzi democrasia. Sheria zetu ndani zinaruhusu?
Vp na wewe unataka ufungue SACCOS ukopeshe?
 
Back
Top Bottom