Cesar Saint
JF-Expert Member
- Nov 18, 2016
- 424
- 725
Mkuu Cesar Saint, kwanza asante kwa bandiko hili very objective, naunga mkono hoja, pili kuna maukweli mengine ni maukweli yenyewe halisi ya kinachokwenda kutokea uchaguzi huu wa 2020, kwenye issue ya urais, ulichosema ni ukweli kabisa, lakini kwa vile humu kuna watu wanaishi ndotoni na kufanya utopian politics, wakiota ndoto za mchana kweupe, wao watakupinga na wata kubeza.Uhitaji kutumia nguvu kubwa kuona kuwa CCM itapata ushindi wa kishindo kwenye uchaguzi huu ujao na si kwasababu za kufichika hapana bali CCM wamejiandaa vizuri kwenye uchaguzi huu kuliko vyama vingine vya siasa.
Naomba kuwasilisha
Hata Edward Twinning, Governor wa mwisho wa Uingereza kabla ya Uhuru hakuamini kama TANU ingeweza kuongoza nchi.
Unafananisha TANU na huu upinzani wa hovyo uliopo Tanzania?Hata Edward Twinning, Governor wa mwisho wa Uingereza kabla ya Uhuru hakuamini kama TANU ingeweza kuongoza nchi.
Hata Edward Twinning, Governor wa mwisho wa Uingereza kabla ya Uhuru hakuamini kama TANU ingeweza kuongoza nchi.
Na maccm yanaamini hivyo hivyo na kuwaona Chadema ni wahuni, lakini uhuni wao wa kugombea hadi wanawake hadharani kwa kumsingizia anatembea na wake za watu hawauoni.
Sky circumstance za TANU ,CCP,ANC na vyama vingi vya kiukombozi au mageuzi Afrika vilikuwa katika mazingira tofauti na zaidi viliwekeza katika strategy za muda mrefu hasa kwa kufahamu nafasi finyu waliokuwanayo na rasilimali walizokuwa nazo kisha juu ya wote walikuwa na mtaji wa watu.
Leo hii watu wanaondoka vyama vya upinzani kama njugu huwezi kuita wote wasaliti ijapokuwa ni kweli yawezekana wakawepo lakini chama ili kiendelee kinahitaji kuwa na uwezo wa kufunda watu,kukuza watu na kutunza watu wake .Na ndio maana umeona hata CCM walipopata mkwaruzano hapa kati asilimia kubwa ya wale watu wamebakizwa kwenye chama Hebu fikiria nguvu ya upinzani kama wangempata mzee Makamba,Mzee Kinana,Nape,January na wengineo?
Au fikiria kama CDM ingekuwa na wakina Slaa,Zito,Dr Kitila na is wengineo.
Vyama vya upinzani Tanzania vinakosa mipango ya muda mrefu na huu ndio ukweli!
1. Kwanini serikali ya CCM haitoi nafasi sawa kwa vyama vya upinzani katika ulingo wa siasa?Sky circumstance za TANU ,CCP,ANC na vyama vingi vya kiukombozi au mageuzi Afrika vilikuwa katika mazingira tofauti na zaidi viliwekeza katika strategy za muda mrefu hasa kwa kufahamu nafasi finyu waliokuwanayo na rasilimali walizokuwa nazo kisha juu ya wote walikuwa na mtaji wa watu.
Leo hii watu wanaondoka vyama vya upinzani kama njugu huwezi kuita wote wasaliti ijapokuwa ni kweli yawezekana wakawepo lakini chama ili kiendelee kinahitaji kuwa na uwezo wa kufunda watu,kukuza watu na kutunza watu wake .Na ndio maana umeona hata CCM walipopata mkwaruzano hapa kati asilimia kubwa ya wale watu wamebakizwa kwenye chama Hebu fikiria nguvu ya upinzani kama wangempata mzee Makamba,Mzee Kinana,Nape,January na wengineo?
Au fikiria kama CDM ingekuwa na wakina Slaa,Zito,Dr Kitila na is wengineo.
Vyama vya upinzani Tanzania vinakosa mipango ya muda mrefu na huu ndio ukweli!
Mkuu Cesar Saint, kwanza asante kwa bandiko hili very objective, naunga mkono hoja, pili kuna maukweli mengine ni maukweli yenyewe halisi ya kinachokwenda kutokea uchaguzi huu wa 2020, kwenye issue ya urais, ulichosema ni ukweli kabisa, lakini kwa vile humu kuna watu wanaishi ndotoni na kufanya utopian politics, wakiota ndoto za mchana kweupe, wao watakupinga na wata kubeza.
Bandiko lako hili limejibu baadhi ya maswali ambayo mimi niliyauliza ile 2015
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P
Kama vyama vya upinzani ni DHAIFU inakuwaje uchaguzi HURU na wa HAKI utakaosimamiwa na Tume Huru UNAOGOPWA? Maccm yametufikisha hadi uchumi wa kati kwa nini baada ya “mafanikio” hayo makubwa wahofie uchaguzi utakaokuwa halali!?
Msifikirie TL hajui hili, la hasha analijua ila nia yake ni kuja hapa, afanyiwe mizengwe (ambapo ujio wake umebugi) ili afanyiwe mizengwe na baadaye arudi akachume mihela ya wazungu wasioitakia mema Tanzania. Kiuhalisia huwezi kumuondoa rais aliye madarakani kwa mtindo huu wa tarumbeta. Rais aliye madarakani anaondolewa kwa yeye kujisahau na kudhani kila kitu kipo sawa.Mkuu Cesar Saint, kwanza asante kwa bandiko hili very objective, naunga mkono hoja, pili kuna maukweli mengine ni maukweli yenyewe halisi ya kinachokwenda kutokea uchaguzi huu wa 2020, kwenye issue ya urais, ulichosema ni ukweli kabisa, lakini kwa vile humu kuna watu wanaishi ndotoni na kufanya utopian politics, wakiota ndoto za mchana kweupe, wao watakupinga na wata kubeza.
Bandiko lako hili limejibu baadhi ya maswali ambayo mimi niliyauliza ile 2015
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P
No wonder wajumbe walikutendea haki kule kwenye kura za maoni.Mkuu Cesar Saint, kwanza asante kwa bandiko hili very objective, naunga mkono hoja, pili kuna maukweli mengine ni maukweli yenyewe halisi ya kinachokwenda kutokea uchaguzi huu wa 2020, kwenye issue ya urais, ulichosema ni ukweli kabisa, lakini kwa vile humu kuna watu wanaishi ndotoni na kufanya utopian politics, wakiota ndoto za mchana kweupe, wao watakupinga na wata kubeza.
Bandiko lako hili limejibu baadhi ya maswali ambayo mimi niliyauliza ile 2015
Kwa Kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
P