asante sana mkuu.Sina hakika wapi waweza vipata kwa huo Uingereza na sijui kama wanaruhusu kuingiza hizo bidhaa kutoka Tanzania. Ingekuwa marekani ningekwambia nenda kwenye supermarkets za wa Mexican unapata kuanzia unga wa ugali, viungo vya pilau, ndizi mbichi za kupika kwa mbivu hadi dagaa.
Labda ugugo shops au supermarket za huko zenye african food waweza pata. All the best.
Daaah mi nataka nianze mchakato wa Visa ndugu!
Najaribu Kukitoroka!VIZA YA KWENDA KUZIMU?? WEWE MWENYEWE UMESEMA UMEZIONA DALILI ZA KUFAKUFA TU.
utazoea tu kijana ..... kula mmo ni dhambiWakuu,siku chache zijazo ntaelekea katika mji wa Norwich huko uingereza.
Sasa wakuu kwa kweli me vyakula vya wazungu kama burger,sandwich et al siviwezi na huwa sishibi kabisa.kwa hiyo nilikua naomba kujua kwa uingereza naweza kupata wapi vyakula kama ugali,wali au pilau,viazi vitamu,magimbi,mihogo,ndizi,makande na vyakula vingine vyenye asili ya Tanzania,au pia kama kuna restrictions zozote kama mama angu atakua ananitumia vitu kama unga wa mahindi kutoka Tanzania ili niwe najipikia mwenyewe?
Asanteni.
Norwich sina uhakika...Ila London,Leicester,Birmingham vipo kibao....kuna maduka makubwa ya waafrika kuna vitu vingi sana! Kwahio unaweza kwenda London weekend, Upton Park ukafanya shopping yako hadi dagaa unapata!Wakuu,siku chache zijazo ntaelekea katika mji wa Norwich huko uingereza.
Sasa wakuu kwa kweli me vyakula vya wazungu kama burger,sandwich et al siviwezi na huwa sishibi kabisa.kwa hiyo nilikua naomba kujua kwa uingereza naweza kupata wapi vyakula kama ugali,wali au pilau,viazi vitamu,magimbi,mihogo,ndizi,makande na vyakula vingine vyenye asili ya Tanzania,au pia kama kuna restrictions zozote kama mama angu atakua ananitumia vitu kama unga wa mahindi kutoka Tanzania ili niwe najipikia mwenyewe?
Asanteni.
Huitaji kuwa tajiri kufika Ulaya/Amerika etc. Jipange tu utafika.DAHH!!!!!!!THREAD KAMA HIZI HUWA ZINANIPA SANA SIMANZI AISE,SIJUI NI LINI NA MIMI NITAPIGA DILI MOJA LA ALBERTO MANGWEA LA KULALA MASIKINI NA KUAMKA TAJIRI ILI NA MIMI NIYACHANE MAWINGU.
LAST YEAR ILIKUWA KARIBIA NIAMSHE KIWANJA NILIENDA BARUTI KUTAFUTA PASSPORT MPAKA NIKAIPATA ILA MUNGU NDO ANAPANGA AISE.
Umeniudhi tu kumtaja Ngole Kante,majuzi katutesa sana watu wa KaskaziniKaribu uingereza mkuu mm npoo mitaa ya London hp krb kbs na club ya Chelsea ilipo .kande lipo .ugali unga wa muhogo .mbona ndio vyakula vya ngolo kante ww umwone alivyo na nguvu za kutoshaa .krb sanaaa mkuu uingereza
VIZA YA KWENDA KUZIMU?? WEWE MWENYEWE UMESEMA UMEZIONA DALILI ZA KUFAKUFA TU.