Hivi Vituo vya Lake Oil wanatoa wapi mafuta?

Wakuu heshima kwenu, kwa muda sasa toka Corona ianze nimekuwa nasafiri na kibaby walker changu popote ninapoenda and huwa nasafiri mikoa mbalimbali hapa TZ Bara na kila mkoa lazima nisimame kuweka wese.

Sasa nlichogundua kwa tz nzima lake oil mafuta yao hawazidi 2500 wakati vituo vingi vinauza hadi 2600. Mfano mkoa ninaoishi ni 2450 ila vituo vingine ni 2600.

Hebu wajuzi wa mambo naomba kujuzwa.
1636960426087.jpeg

Logistic wise wapo vizuri
 
Unatoka Dar umejaza wese, ukifika Pwani unajaza, ukifika Moro au Mkata(Tanga) unajaza au ukifika Iringa unajaza, Makambako ( Njombe region) unajaza, ukifika Igurusi (Mbeya) unajaza, Ukifika Songwe unajaza, ukifika pale mbele kidogo nimepsahau ila ni Rukwa, unajaza...hii ni bodaboda Mpwa?
Naishi musoma mkuu iko hivi huwa naweka full tank elf80 nagongo hadi nzrga naongeza ya 40elf, then singida 40elf, dodoma 40elf natoboa hadi dar nabakia na mafuta ya kuzugia
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom