Mara kwa mara nimekuwa nikitumia kituo cha lake oil karibu na st. mathew sekondari,na ni mwezi mzima sasa tangu april wanasema mashine ya efd mbovu na taarifa ziko TRA,ukiwabana wanakwambia paki pembeni uandikiwe risiti,je TRA hili mnalichukuliaje?nashauri mbandike namba zenu kwenye vituo vyote vya kuuzia mafuta mweze kupata taarifa ya kinachojiri!