Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
Wamefukuzwa chuo cha Bugando kuna vitu walikuwa wanadai kuna pesa walisema wanakatwa sio haki yaokuna nini kwani?
Kwanini serikali haiwasikilizi na wameonewaa kweliEndapo wazazi wakiwafokea itaonekana kuwa wanaunga mkono maamuzi ya Chuo.
Hao wanafunzi hawakujitakia, walikuwa wanadai/wanahoji haki zao.
Iweje mtu ulipishwe Ada kubwa kuliko ile ilekezi na TCU.
Sasa tusubiri serikali itasemaje maana yalikuwa yanafanywa kimya kimya huko ChuoniKwanini serikali haiwasikilizi na wameonewaa kweli
pole zao... mie niliwahi kufukuzwa shule Niliokuwa nawatetea hawakusema lolote... kiufupi walinisnitch.Wamefukuzwa chuo cha Bugando kuna vitu walikuwa wanadai kuna pesa walisema wanakatwa sio haki yao
SawaaSasa tusubiri serikali itasemaje maana yalikuwa yanafanywa kimya kimya huko Chuoni
Waende tu mahakamani kwa kweli ni uonevu mkubwa wa hawa waromaniKuna mkasa niliukuta chuo kimoja hivi walimfanyia zengwe jamaa kama hivi halafu aliyemfukuza nafikiri alikua deputy au dean basi jamaa akaenda mahakamani.
Ikajulikana kua anayetakiwa kumfukuza mwanafunzi ni mwenyekiti wa bodi baada ya kukaa kikao cha bodi ila kwakua vikao vinakaa baada ya muda fulani na makosa hufanywa kila siku mamlaka ya kufukuza anaachiwa mkuu wa chuo.
Na kwakua delegated power cannot be delegated kwa mara nyingine means hata deputy au dean hawakuwa na mamlaka ya kumfukuza jamaa.
Akashinda kesi, akalipwa milioni 32 na nafasi ya kurudi darasani ipo palepale kwakua alifukuzwa kibatili. Akajiondokea zake na zile milioni sijui yuko wapi siku hizi.
Sasa hawa washkaji waende mahakamani na hivi jumuiya ishakua aware na hii ishu naona wakishinda.
Ukafanyaje hukwenda mahakamanipole zao... mie niliwahi kufukuzwa shule Niliokuwa nawatetea hawakusema lolote... kiufupi walinisnitch.
Bora alisepa na mpunga maana angerudi tena shuleni wangemfanyizia mbaya.Kuna mkasa niliukuta chuo kimoja hivi walimfanyia zengwe jamaa kama hivi halafu aliyemfukuza nafikiri alikua deputy au dean basi jamaa akaenda mahakamani.
Ikajulikana kua anayetakiwa kumfukuza mwanafunzi ni mwenyekiti wa bodi baada ya kukaa kikao cha bodi ila kwakua vikao vinakaa baada ya muda fulani na makosa hufanywa kila siku mamlaka ya kufukuza anaachiwa mkuu wa chuo.
Na kwakua delegated power cannot be delegated kwa mara nyingine means hata deputy au dean hawakuwa na mamlaka ya kumfukuza jamaa.
Akashinda kesi, akalipwa milioni 32 na nafasi ya kurudi darasani ipo palepale kwakua alifukuzwa kibatili. Akajiondokea zake na zile milioni sijui yuko wapi siku hizi.
Sasa hawa washkaji waende mahakamani na hivi jumuiya ishakua aware na hii ishu naona wakishinda.
Wangemfelisha akawapeleka tena mahakamani hahahahBora alisepa na mpunga maana angerudi tena shuleni wangemfanyizia mbaya.
Kama kautumia mpunga wake vizuri atakuwa kafaidi sana.
Kabisa kabisaBora alisepa na mpunga maana angerudi tena shuleni wangemfanyizia mbaya.
Kama kautumia mpunga wake vizuri atakuwa kafaidi sana.
Niliitwa baada ya week tatu kesi ikaisha..Ukafanyaje hukwenda mahakamani
KabisaEndapo wazazi wakiwafokea itaonekana kuwa wanaunga mkono maamuzi ya Chuo.
Hao wanafunzi hawakujitakia, walikuwa wanadai/wanahoji haki zao.
Iweje mtu ulipishwe Ada kubwa kuliko ile ilekezi na TCU.
Aisee nshakujuapole zao... mie niliwahi kufukuzwa shule Niliokuwa nawatetea hawakusema lolote... kiufupi walinisnitch.
Ni vizuri Mzee baba kujuana.Aisee nshakujua
Hahaha aisee ... VP habar za kujenga nchi znaendaje mkuuNi vizuri Mzee baba kujuana.