Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,621
- 27,567
Wale waliofukuzwa chuo pale Bugando ambao ni Rais wa chuo na Waziri Mkuu wake; hivi wanalala kweli usiku? Maana wazazi wanavyohangaika kutafuta ada halafu unafukuzwa chuo, labda kama walikuwa ni wafanyakazi tayari au wamejipanga.
Ninavyojua matusi ya wazazi wa kibongo utasemwa mpaka basi yaani usiku unaota maluweluwe tu. Yaani ni kama mimi nikifanya kosa nikajua hapa nimekosea kweli huwa napata hofu. Ila bora hofu ya wewe na matatizo yako binafsi sio mpaka wazazi wajue.
Poleni nyie wanachuo najua mnatamani mrudishe masaa nyuma japo mlikiwa mnadai haki yenu ndio hivyo bongo hata maiti hana haki.
Soma pia:
Unyonyaji na unyanyasaji ndani ya chuo kikuu Bugando
Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo